Mkuu,una uhakika hauna malaria?Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu
nikisema wakristo wanadanganya kuwa messiah atashuka na mawingu je Yesu kristo alivyokuja si alizaliwa kwa nini huyu ashuke na mawingu na kila jicho limuone ukisema hapana Atazaliwa wewe unaitwa demons sijui pepo
okay Je wewe una Yapi ukiwaambia humu watu hawatakuelewa watajua umelogwa au poyoyo au kipofu [ kuna mambo yako hata kama una elimu ukitumia elimu yako hutayajua unajifanya umesoma dini kuna mambo kama UPENDO dini hazijui wala watoke waseme wanajuaje nini maana ya Upendo]
Mnayemuhisi ni mtundumtundu mumlete kwa pastor Rabbon amwagie maji ya upako.Kuna ushirikina katika familia yetu
Hata bei wapunguze.Kikombe kidogo cha kahawa mililita 40 shing afu saba?Mimi nataka kuwaambia baadhi ya wauza chai humu JF wapunguze sukari asee
hata nikisema utaniaminije? ila ikitukia itakuwa sio malaria tena kwa kuwa hakuna kitu kikubwa kama kujitambua KNOW THY SELFMkuu,una uhakika hauna malaria?
Oooh..Lord have mercy on us! Uchokozi!NATAMANI KUWAAMBIA KOBAZI WANAABUDU SEHEMU SIO ILA NI WABISHI WANAJUA UKWELI ILA WANAONA AIBU KUTOKA
Hata kwetu piaKuna ushirikina katika familia yetu
Siamini kama umefoka hivyo!hata nikisema utaniaminije? ila ikitukia itakuwa sio malaria tena kwa kuwa hakuna kitu kikubwa kama kujitambua KNOW THY SELF
KABLA HUJAENDA HATA MSIKITINI AU KANISANI ANZA KUJITAMBUA MENGINE YATAKUWA YATAKUJA KWAKO KWA KUFUATA NGUVU ULIYOITAMBUA NDANI YAKO
Kuna Siri kubwa sana kati ya tamaa za mwili na uhuru wa kiroho, hakuna atakae nielewa,,,,,mtaishia tu kusema ahaa !hakuna mkate mgumu kwa chai😂😂Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu
nikisema wakristo wanadanganya kuwa messiah atashuka na mawingu je Yesu kristo alivyokuja si alizaliwa kwa nini huyu ashuke na mawingu na kila jicho limuone ukisema hapana Atazaliwa wewe unaitwa demons sijui pepo
okay Je wewe una Yapi ukiwaambia humu watu hawatakuelewa watajua umelogwa au poyoyo au kipofu [ kuna mambo yako hata kama una elimu ukitumia elimu yako hutayajua unajifanya umesoma dini kuna mambo kama UPENDO dini hazijui wala watoke waseme wanajuaje nini maana ya Upendo]
Mwamposa ni mwizi na TapeliMimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu
nikisema wakristo wanadanganya kuwa messiah atashuka na mawingu je Yesu kristo alivyokuja si alizaliwa kwa nini huyu ashuke na mawingu na kila jicho limuone ukisema hapana Atazaliwa wewe unaitwa demons sijui pepo
okay Je wewe una Yapi ukiwaambia humu watu hawatakuelewa watajua umelogwa au poyoyo au kipofu [ kuna mambo yako hata kama una elimu ukitumia elimu yako hutayajua unajifanya umesoma dini kuna mambo kama UPENDO dini hazijui wala watoke waseme wanajuaje nini maana ya Upendo]
Kwamba Yesu alisharudi na kuondoka sasa tuko majira ya Muumba mwenywe ambae anaishi ndani yetu sote. Umilele ni hapa hapa juu ya nchi sio mawinguni kama wengu walivyofundishwa.Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo