KItu gani unataka kuwaambia watu lakini unajua hawakuelewi kabisa

DINI NI UPUUZI NA UTUMWA WA KIWANGO CHA JUU SANA KWA MTU/BINADAMU
 
Kwamba nimezipata hela bila ndagu

Hata uwaambie nini ni kama unawapigia Gita Mbuzi.
 
Wasiende kupiga kura wala wasiwatusi hao jamaa kukaa kimya ni jibu zuri kwa mjinga.
lkn watu hawaelewiiiiiii!!!!!!!
 
Ufufuko ni mchongo tu! Si kweli. Watu hawaamini maneno hayo kutoka kinywani mwangu na nilivyokuwa mkatoliki wa kuaminika.
 
Nawaambiwa watu ukizaliwa tanzania unakuwa umelaaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…