Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
 
Mimi nikinunua simu ya milioni moja ni fedha nyingi ila Mwigulu akinunua simu ya milioni tatu ni pesa za kawaida tu ko hakuna swali hapo, kila mtu aishi kwa kiwango chake.
 
Unamkuta mshikaji anaishi kwa kubagaiza hana asset yoyote ya maana lakini siku akibatisha pesa kidogo anakimbilia kununua gari hata kama ni mkweche😀
 
Sijui ni kwanini watu wengi wana amini kununua gari ni mafanikio? Ila kiuhalisia sio sawa.... Na sio kweli....
 
Mkuu nafikiri ni uvivu wa kufikiri tu, mtu katika makuzi yake yote yeye anaotaga kupata gari tu😎😕
 
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Pombe kali ya bei mbaya
 
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Hili swali jibu lake analo Baltazar Engonga , Bahati mbaya au nzuri, sijui Kama yumo humu atusaudie kujibu…
 
Back
Top Bottom