Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Watasema unanunua kwa showoffNitafutie jeep wrangler mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watasema unanunua kwa showoffNitafutie jeep wrangler mkuu
Nipo hapa nawa zoom tuu.Hili swali jibu lake analo Baltazar Engonga , Bahati mbaya au nzuri, sijui Kama yumo humu atusaudie kujibu…
Kuna familia wapo wa3, wameuza nyumba ya mzee wao(marehemu) masaki, 2.2B sasa kwa mgao wa watu watatu kwanini mtu asinunue benz?kununua mercedes benz kwa hela uliyoipata, kwenye mgao wa nyumba yenu ya urithi iliyouzwa.
Kwani uzi unasemaje?Watasema unanunua kwa showoff
Iphone uses mkuje huku kuna mada yenu inawahusu.Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?