Anyangโanywe hiyo simu. Week nzima bila bando?Wananunua simu za gharama halafu wanakaa wiki nzima bila bundle
Siku ya 27 Sober.Anyangโanywe hiyo simu. Week nzima bila bando?
Em aniuzie hiyo spirit
Ninakuona online ujueSiku ya 27 Sober.
Halafu anaishi kwa wasiwasi muda wote sababu ya madeni ๐Iphone macho ma3.
Sijui ni kwanini watu wengi wana amini kununua gari ni mafanikio? Ila kiuhalisia sio sawa.... Na sio kweli....Unamkuta mshikaji anaishi kwa kubagaiza hana asset yoyote ya maana lakini siku akibatisha pesa kidogo anakimbilia kununua gari hata kama ni mkweche๐
Mkuu nafikiri ni uvivu wa kufikiri tu, mtu katika makuzi yake yote yeye anaotaga kupata gari tu๐๐Sijui ni kwanini watu wengi wana amini kununua gari ni mafanikio? Ila kiuhalisia sio sawa.... Na sio kweli....
Pombe kali ya bei mbayaKitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Hili swali jibu lake analo Baltazar Engonga , Bahati mbaya au nzuri, sijui Kama yumo humu atusaudie kujibuโฆKitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Nitafutie jeep wrangler mkuuiPhone