Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS?

kununua mercedes benz kwa hela uliyoipata, kwenye mgao wa nyumba yenu ya urithi iliyouzwa.
Kuna familia wapo wa3, wameuza nyumba ya mzee wao(marehemu) masaki, 2.2B sasa kwa mgao wa watu watatu kwanini mtu asinunue benz?
 
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Iphone uses mkuje huku kuna mada yenu inawahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…