Kitu kiko Jikoni tayari kinapakuliwa wakati wowote hivyo tuwapigie Simu Waganga wetu wa Kienyeji watuokoe ili tusinyolewe mazima

Kawaida tu, chama kina makada wengi, kulamba asali kwa zamu ndio mtindo wake. Leo huyu, kesho yule maisha yanaenda
 
Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
Sweetest day dreamers, piga kazi malizia miradi inakwenda vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…