Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wakati wa Kampeni zozote za Uchaguzi, kwenye Jimbo la Isman, Mh Lukuvi alikuwa analipa vilabu vyote vya Ulanzi vya Jimbo hilo ili wananchi wanywe bure kwa miezi mitatu mfululizo
Hili lilikuwa jambo la Wazi kabisa bila kificho, huku Lukuvi mwenyewe akieleza kwamba kwa mila za kwao si kosa kugawa Pombe, wananchi walijichagulia wenyewe Kati ya Mkangafu, Mteke Au mdindifu
Kingine watakachomiss ni viberiti vya Bure vilivyogawiwa kwenye kampeni KILA nyumba ya Jimbo hilo, vikiwa n.a. picha ya Lukuvi, KILA aliyepokea kiberiti aliongezewa Mifuko wa Chumvi Au Sukari.
Ismani ni miongoni mwa Majimbo Duni kabisa Nchi hii huku yakiongozwa n.a. CCM tangu yazaliwe, n.a. haijulikani sababu hasa ya wananchi wake kuikumbatia CCM
MWISHO JAPO SI KWA UMUHIMU, Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya William Wangivembe Lukuvi mahali inapostahili kutokana na Matendo yake hapa Duniani, Amina