Kitu kikubwa ambacho wananchi wa Ismani watapoteza baada ya kifo cha ghafla cha Lukuvi ni Ulanzi wa Bure

Habari ya Barabara za Ismani mmesikia wenyewe
 
Wakati wa Kampeni zozote za Uchaguzi, kwenye Jimbo la Isman, Mh Lukuvi alikuwa analipa vilabu vyote vya Ulanzi vya Jimbo hilo ili wananchi wanywe bure kwa miezi mitatu mfululizo

Hili lilikuwa jambo la Wazi kabisa bila kificho, huku Lukuvi mwenyewe akieleza kwamba kwa mila za kwao si kosa kugawa Pombe, wananchi walijichagulia wenyewe Kati ya Mkangafu, Mteke Au mdindifu

Kingine watakachomiss ni viberiti vya Bure vilivyogawiwa kwenye kampeni KILA nyumba ya Jimbo hilo, vikiwa n.a. picha ya Lukuvi, KILA aliyepokea kiberiti aliongezewa Mifuko wa Chumvi Au Sukari.

Ismani ni miongoni mwa Majimbo Duni kabisa Nchi hii huku yakiongozwa n.a. CCM tangu yazaliwe, n.a. haijulikani sababu hasa ya wananchi wake kuikumbatia CCM

MWISHO JAPO SI KWA UMUHIMU, Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya William Wangivembe Lukuvi mahali inapostahili kutokana na Matendo yake hapa Duniani, Amina
Samahani Mkuu, japo Marehemu huwa hasemwi lakini hebu tujadili kidogo, hivi umauti umemkuta akiwa maneo gani huyu Wangivembe?
 
Siku ya Noel ya mwaka 1971 ndugu Said Mwamwindi alimpiga risasi na kumuua aliyekuwa mkuu wa mkoa kipindi hicho ndugu Wilbert Kleruu eneo hilo la Isimani
 
Wakati wa Kampeni zozote za Uchaguzi, kwenye Jimbo la Isman, Mh Lukuvi alikuwa analipa vilabu vyote vya Ulanzi vya Jimbo hilo ili wananchi wanywe bure kwa miezi mitatu mfululizo

Hili lilikuwa jambo la Wazi kabisa bila kificho, huku Lukuvi mwenyewe akieleza kwamba kwa mila za kwao si kosa kugawa Pombe, wananchi walijichagulia wenyewe Kati ya Mkangafu, Mteke Au mdindifu

Kingine watakachomiss ni viberiti vya Bure vilivyogawiwa kwenye kampeni KILA nyumba ya Jimbo hilo, vikiwa n.a. picha ya Lukuvi, KILA aliyepokea kiberiti aliongezewa Mifuko wa Chumvi Au Sukari.

Ismani ni miongoni mwa Majimbo Duni kabisa Nchi hii huku yakiongozwa n.a. CCM tangu yazaliwe, n.a. haijulikani sababu hasa ya wananchi wake kuikumbatia CCM

MWISHO JAPO SI KWA UMUHIMU, Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya William Wangivembe Lukuvi mahali inapostahili kutokana na Matendo yake hapa Duniani, Amina
Screenshot_20260324_210958_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom