"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

Jichaanganye
 
Lengo la creative directors na watu wa marketing department ni kukamata hisia za wateja (brainwashing)
Tayari umeshakamatika ..😁
Ukiulizwa kesho "kitu imesimama" unaikumbuka product mpya ya crdb😁
Wee mkuu salote kwako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
Unajua sana
 
Ndo kitu kikasimama au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 


Wana akili sana, wangesema tunasonga mbele usinge share hapa, wala usingetaja crdb hapa.

Wa Tanzania ndo vitu wanapenda, mfano daima mbele nyuma mwiko, mpaka wamechora maana yake.

Mpaka msemaji wa Simba anaiita Yanga nyuma mwiko, ni mambo yanayovuma.

Heko kwa crdb, wamejua jinsi wa Tanzania ni washenzy, wakawapa hiyo kitu wanayopenda.
 
Shekhe ka-share video ya ngono FB sasa sikuelewi alikua anamaanisha nini πŸ˜‚
Ahahahahahah bahati mbaya ndugu..
Kwani hujui fb now imevamiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shekhe kaupiga mwingi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda walimaanisha Abdallah kichwa wazi kasimama dede

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Ahahahahahah bahati mbaya ndugu..
Kwani hujui fb now imevamiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shekhe kaupiga mwingi
Ndio maana nakwambia kitu kilisimama kwa Muda maana Ile video Dada ana bonge la MZIGO alafu kamanuliwa msamba Miguu juu πŸ˜‚
 
Ndio maana nakwambia kitu kilisimama kwa Muda maana Ile video Dada ana bonge la MZIGO alafu kamanuliwa msamba Miguu juu πŸ˜‚
Wee pia ni kijana wa hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilikua nakufatilia tuu nijue ni wa namna gani ila sasa nishapata jibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mimi sio kijana wa ovyo labda niwe Mzee wa ovyo maana nishamaliza ujana mda mrefu πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…