"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"

Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?

Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!

"Kitu kimesimama!" Maana yake nini? Nyie CRDB?

View attachment 2944083
Jichaanganye
 
Lengo la creative directors na watu wa marketing department ni kukamata hisia za wateja (brainwashing)
Tayari umeshakamatika ..😁
Ukiulizwa kesho "kitu imesimama" unaikumbuka product mpya ya crdb😁
Wee mkuu salote kwako 😂😂😂👊👊👊👊👊👊👊
Unajua sana
 
Nipo kwenye daladala Mzee mmoja tumekaa siti moja basi anaperuzi FB ikaingia notification Mzee mwenzio ka-share kitu naona ni mtu anaemheshimu sana Si akabonyeza akaone bwanawee kufika anakuta video ya Dada kamanuliwa anapigwa paipu Mzee akashtuka sana ikabidi arudi juu kuhakikisha Jina la na picha nikabaki natabasamu tu, ukiangalia picha ya Mzee alie-share video hio ni Mzee mwenye heshima kavaa baragashea na cover kaweka picha ya mkewe, nikajiuliza inawezekana vipi?
Ndo kitu kikasimama au 😂😂😂😂
 
Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"

Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?

Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!

"Kitu kimesimama!" Maana yake nini? Nyie CRDB?

View attachment 2944083

Wana akili sana, wangesema tunasonga mbele usinge share hapa, wala usingetaja crdb hapa.

Wa Tanzania ndo vitu wanapenda, mfano daima mbele nyuma mwiko, mpaka wamechora maana yake.

Mpaka msemaji wa Simba anaiita Yanga nyuma mwiko, ni mambo yanayovuma.

Heko kwa crdb, wamejua jinsi wa Tanzania ni washenzy, wakawapa hiyo kitu wanayopenda.
 
Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"

Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?

Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!

"Kitu kimesimama!" Maana yake nini? Nyie CRDB?

View attachment 2944083
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda walimaanisha Abdallah kichwa wazi kasimama dede

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Ahahahahahah bahati mbaya ndugu..
Kwani hujui fb now imevamiwa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Shekhe kaupiga mwingi
Ndio maana nakwambia kitu kilisimama kwa Muda maana Ile video Dada ana bonge la MZIGO alafu kamanuliwa msamba Miguu juu 😂
 
Ndio maana nakwambia kitu kilisimama kwa Muda maana Ile video Dada ana bonge la MZIGO alafu kamanuliwa msamba Miguu juu 😂
Wee pia ni kijana wa hovyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilikua nakufatilia tuu nijue ni wa namna gani ila sasa nishapata jibu 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Wee pia ni kijana wa hovyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilikua nakufatilia tuu nijue ni wa namna gani ila sasa nishapata jibu 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Mimi sio kijana wa ovyo labda niwe Mzee wa ovyo maana nishamaliza ujana mda mrefu 😃
 
Back
Top Bottom