Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Mtanzania, umewahi kujiuliza kuwa, vioongozi wa serikali, wafanyakazi wote wa umma, v8, na magari yote wanayotumia viongozi, hospitali na madawa yake, majengo ya shule, vyuo na vifaa vyote, miundo mbinu yote, maofis yote ya serikali n.k, matokeo ya hayo yoote ni kodi ya watanzania
Maswali ya kujiuliza,
Ikiwa upatikanaji wa madawa ya binadama n.k, hununuliwa Kwa kodi za watanzania, wafanyakazi hulipwa Kwa kodi za watanzania, Kwa nini kutozwa pesa wakati wa kupata huduma hizo?
Okay, umeenda shule, madarasa kodi yako imetumika kuyajenga, walimu wanalipwa Kwa kodi yako, vifaa vilivyopo vimenunuliwa Kwa kodi yako, Kwa nini ulipie tena masomo.?
Okay, umepita kwenye daraja la Nyerere pale, kodi yako ndiyo iliyotumika kujengwa, Kwa nini utozwe pesa hapo?
Tunahitaji kuvuka uwezo tulionao kufikiri zaidi ili tuanze kuishi mahali tunapopaswa kuishi,
Duniani sio sehemu ya mateso, pa mateso papo, ambapo ni jehanamu
Mnadhani ni Kwa nini wizara hazijawahi kuanza kujitegemea mbali na kwamba kila wanachofanya ni lazima wachote pesa za kodi zetu mbali na kwamba huduma zao wanatuuzia tena?
Tunahitaji vichwa vinavyowaza zaidi na sio bora liende!
Ndiyo, tuko myuma saana, Ila, tunahitaji viongozi wasiowaoga, wakitishiwa tu waseme, wanayapenda sana maisha yao kuliko maisha ya wengine
Tunataka Watu majisiri na wenye uwezo wa kufikiri na kutenda, sio hawa wanaowaza tozo tu ili hali hawawezi hata kuzisimamia!
Tanzania Tunakupenda, siku si nyingi utanawili,
Tanzania nchi yangu!