Du! Pole hivi vitoweo vingine vinahitaji kupewa sambamba na "user Manual" hata mie hiyo nyama kitu kigeniWaeza itengeneza slice, na kuiloweka kwenye vitunguu saum, pilipili, pilipili manga, chumvi kiasi, mdalasini, siki,tangawizi na bizari ya pilau. Unaichannganya vizuri naviungo then unaiacha kwa masaa. Baada yapo ioke kwa moto mdogomdogo.
Waeza itengeneza slice, na kuiloweka kwenye vitunguu saum, pilipili, pilipili manga, chumvi kiasi, mdalasini, siki,tangawizi na bizari ya pilau. Unaichannganya vizuri naviungo then unaiacha kwa masaa. Baada yapo ioke kwa moto mdogomdogo.

Du! Pole hivi vitoweo vingine vinahitaji kupewa sambamba na "user Manual" hata mie hiyo nyama kitu kigeni