Kitu kipya kwangu

Kitu kipya kwangu

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,367
SIJAWAHI kabisa kula nyama ya kondoo sasa nimeletewa na mimi ndo mpishi yamani msaada please.
Jinsi ya kupika hii nyama
Jinsi ya kui seasone
Spices gani natakiwa nitumie nisije kuharibu mmh
na je kuichoma inakuwaje maana inaonekana ni laini mno

cc miss amu nasikia we ni mpishi mzuri
 
Last edited by a moderator:
Waeza itengeneza slice, na kuiloweka kwenye vitunguu saum, pilipili, pilipili manga, chumvi kiasi, mdalasini, siki,tangawizi na bizari ya pilau. Unaichannganya vizuri naviungo then unaiacha kwa masaa. Baada yapo ioke kwa moto mdogomdogo.
 
ha ha ha ha ha yeye alianzaje kukuletea kondoo?ungemuuliza bana mimi mwenyewe sijui mavitu mengine mmmhh msikilize rasai
 
Du! Pole hivi vitoweo vingine vinahitaji kupewa sambamba na "user Manual" hata mie hiyo nyama kitu kigeni
 
asante rasai nitajitaidi kujaribu hayo maelekezo
 
mwenzangu siunajua unaenda mahali unakula unanogewa sasa unataka kujaribu ila ndo alisahau kuuliza mapishi yake ila rasai amenisaidia sana
 
Du! Pole hivi vitoweo vingine vinahitaji kupewa sambamba na "user Manual" hata mie hiyo nyama kitu kigeni

ukiwa uk ndio mbuzi yao hiyo aisee huku bongo mpaka siku unatoa kafala na mila za ukoo ndio mnachinja..
 
Japo najua ushaipika tayari kwa mimi inaweza saidia pia.
Nyama ya kondoo ni kama ya mbuzi tofaut ni kwamba ya kondoo ina maji mengi sana tofaut na ya mbuzi.halaf ni laini na ina mafuta mengi.
Ni vizuri kama ukiinunua uiache uipike kesho yake,na nyama hiyo haifai sana kwa supu au kuiunga kwa mchuzi,ni vizuri ukishaiandaa weka chumvi,kitunguu swaumu, limao,ajinamoto na beef masala kisha tumia deep fry kuikaanga yaani kwenye mafuta mengi kama maandazi.ila moto uwe kidogo ili iive.polepole.ukishaiepua unaweza kuila kama ilivyo au unaweza kuandaa source na ukazichanganya ila usiweke maji kabisa.Nyama ya kondoo bila kuila kavu inakinaisha na ina harufu sana.bila shaka siku nyingine ukiletewa utaifurahia.Enjoy it
 
Back
Top Bottom