Kitu nilichojifunza after marriage mwanamke ndo kiumbe mshindi katika hayo mahusiano

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,257
Reaction score
3,905
Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako

Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia siku harusi ndugu wa mwanamke wanavyofurahi na kucheza wewe unadhani wanafurahia harusi yako

Ila wanachofurahia ule mchakato wa kukupigia kura umeshinda sasa wanasubili uanze kuwatumikia mashemeji,
Mwana ndugu,maana watu tiyali walishapanga jinsi gani utapeleka maendeleo nyumbani kwao tangu siku ile ya utambulisho binti alipokupeleka kwao ukajitambulisha wewe ni mtumishi wa siri kali

M
 
We ulioa malaya na choper money,
 
Dah...!
Ukweli mchungu unaumiza sana
 
Vijana mnalalamika sana, huko ndoani mbona kama mnateswa sana.

Si muachane, na inakuaje wewe Me anakua mnyonge mnyonge aisee.
 
Back
Top Bottom