Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
We ulioa malaya na choper money,Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako
Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia siku harusi ndugu wa mwanamke wanavyofurahi na kucheza wewe unadhani wanafurahia harusi yako
Ila wanachofurahia ule mchakato wa kukupigia kura umeshinda sasa wanasubili uanze kuwatumikia mashemeji,
Mwana ndugu,maana watu tiyali walishapanga jinsi gani utapeleka maendeleo nyumbani kwao tangu siku ile ya utambulisho binti alipokupeleka kwao ukajitambulisha wewe ni mtumishi wa siri kali
M
Dah...!Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako
Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia siku harusi ndugu wa mwanamke wanavyofurahi na kucheza wewe unadhani wanafurahia harusi yako
Ila wanachofurahia ule mchakato wa kukupigia kura umeshinda sasa wanasubili uanze kuwatumikia mashemeji,
Mwana ndugu,maana watu tiyali walishapanga jinsi gani utapeleka maendeleo nyumbani kwao tangu siku ile ya utambulisho binti alipokupeleka kwao ukajitambulisha wewe ni mtumishi wa siri kali
M
Hili kwasasa haliwezekani,ilikuwaga zamaniVipi kwa familia ambazo kikeni ndo wana uchumi mkubwa.
Sasa mkuu unasemaje kuoa familia maskini ilihali asilimia kubwa maisha ya watanzania ni maskinNdoa ni utapeli Ila , kwa Uzi wako unalenga zaidi pale unapooa familia maskini na wasio jitambua
We ulioa malaya na choper mo
Huo ndo uhalisia uliopo kubali ukataeWe ulioa malaya na choper money,
πSasa mkuu unasemaje kuoa familia maskini ilihali asilimia kubwa maisha ya watanzania ni maskin
Ndio maana nikasema maskini na wasio jitambua Soma vizuriSasa mkuu unasemaje kuoa familia maskini ilihali asilimia kubwa maisha ya watanzania ni maskin
Ambapo 95% ya familia za kitanzania ni masikiniNdoa ni utapeli Ila , kwa Uzi wako unalenga zaidi pale unapooa familia maskini na wasio jitambua
Watafaidika kupata cheap laborMfano mimi ni masikini,nimeoa kwa matajiri,hapo mwanamke atafaidika vipi kutoka kwangu?
Wanaweza kukutumia kama msukule waoVipi kwa familia ambazo kikeni ndo wana uchumi mkubwa.