Kitu nilichojifunza after marriage mwanamke ndo kiumbe mshindi katika hayo mahusiano

Tukisema mahusiano ya mwanaume na mwanamke yawe survival of the fittest basi mwanamke ndie atakua victim, ndio maana mahusiano yakatungiwa sheria ambayo ikaitwa ndoa. Kwaiyo ndoa ilikua invented kulinda masilahi ya mwanamke. Marriage doesn't give a damn about men.
 
Ndoa ni utapeli Ila , kwa Uzi wako unalenga zaidi pale unapooa familia maskini na wasio jitambua
Ebanaee kuna makabila usijaribu kabisa kuoa especially ukiwa mtumishi katika mikoa yao labda ukutane nae mjini tofauti na mkoa anaotokea , amini nakwambia watahakikisha huyo mwanamke ana nyumba na vijimiradi kwaajili ya kisaidia ndugu zake then ndio inafuata familia yake (watoto)
 

yaani hiii comment
 
Kwahiyo mtumishi wa sirikali ndo ana hela kiasi hicho cha kufanya maendeleo ukweni?
 
Makabila yapi hayo tena.
 
Mfano mimi ni masikini,nimeoa kwa matajiri,hapo mwanamke atafaidika vipi kutoka kwangu?
Familia ya kitajiri haiwezi kuruhusu binti yao aolewe na masikini. Movie, tamthiliya na miziki aina ya zali la mentali ya prof jay zile ni sanaa tu. It very rare (if not impossible) to happen in real life
 
Uko sahihi, ndoa inamnufaisha kwa kiwango kikubwa mwanamke kuliko mwanaume. Ndio maana wanaofanikiwa kuolewa wanatamba sana, ni ushindi mkubwa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…