Kitu pekee kinachoonyesha serikali ipo salama ni Siri zake kutokuvuja

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo wote!

1. Kutokuvuja kwa Siri za serikali hasa vikao vya ndani vya wakuu wa nchi ni kiashiria pekee ambacho kinaonyesha bado serikali inanguvu na haijapasuka.

2. Siku zote nasemaga adui mwenye nguvu ni yule aliyepo ndani kuliko wa nje.

3. Kadiri Siri zinavyolindwa ndivyo nguvu inavyoongezeka.

4. Ukimya na matokeo ya kushtukiza ni mbinu ya ushindi Siku zote.

5. Upande wa adui wa serikali hata kama ni wabishi lakini kama hali itaendelea kuwa hivi wanaweza kukata tamaa.

6. Adui wa nje anategemea zaidi udhaifu wa ndani. Kadiri ndani kunavyokuwa imara ndivyo nje kunavyodhidi kudhoofika.

7. Makosa ya serikali wanayoweza kuyafanya ni kutikisa waliopo ndani Jambo ambalo sio salama.

8. Mfumo wa Mnyororo ni mfumo pekee kuleta uthabiti. Inapotokea migogoro ya ndani. Njia sahihi ni kuketi na kuzungumza kisha kuwekana Sawa kwa njia salama. Lakini kukomoana au kukata kiungo chochote cha mnyororo ili kukiondoa na kuunga waliobakia sio mbinu Rafiki na huweza kuleta mpasuko kutokea ndani.

9. Nilisikia watu wakiombea viongozi na baadhi ya maafisa wa serikali kufa. Jambo ambalo ni dua la kuku.

10. Kwenye siasa hakunaga miujiza na miujiza ni Jambo ambalo haitegemewi kabisa. Zaidi miujiza hutokea kwa nadra Sana labda mara moja kwa miaka Mia moja au miaka kumi.

11. Siasa ni sayansi inayohitaji kuchukua hatua. Tahadhari na mikakati madhubuti.

12. Kumuombea Adui yako wa kisiasa aadhibiwe na Mungu ni kutangaza umejisalimisha na kushindwa.

13. Kitu pekee kwenye siasa ambacho wanasiasa werevu wanakizingatia katika mipango yao. Ni usiri. Na kipimo cha kujua mipango itatiki, mpo salama ni kutokuvuja kwa Siri za mipango na mikakati yenu.

14. Mbinu ya wanasiasa wenye akili hutumia false alarm/flag Tricks kama uzushi kusoma akili za maadui zao wa wazi na waliojificha. Lakini pia lengo likiwa kuhamisha mvumo wa habari moja kwenda nyingine.

15. Kila taarifa ni muhimu. Na Kila mwenye ushawishi lazima CV yake iwe juu ya meza za wakubwa ichambuliwe na kuchanganuliwa.

16. Kwenye siasa watawala wenye akili huhakikisha wanadhibiti au kusajiliwa makundi ya watu hawa;
a) Wenye pesa (wafanyabiashara na wawekezaji
b) Expert WA level za juu.
Hawa kwaajili ya huduma kama udaktari, uanasheria(Sheria), Mastermind, n.k
c) Vipaji na ushawishi.
Vipaji vikubwa ni mali ya Ikulu(Dola)
d) Viongozi wa Dini.
e) Viongozi. Wa vyombo vya ulinzi na usalama

17. Ni ngumu Sana kupambana na Dola ukashinda labda Dola yenyewe iwe na ubinafsi kutumia hizo rasilimali hapo juu.

18. Dola ishindwe kuheshimu, kujali watu hao hapo juu. Au iwafanyie ukora au ubabe.

19. Serikali ili idondoke lazima igombane na makundi matano pale juu.

Acha nipumzike sasa.

Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wew siku hiz umekuwa kichaa.
Toka ulipobeza maandamano tarehe 29 na baadae yakatokea hadi tukafungwa ndani siku Sita

Nilikushusha sana.
Naona unaandika porojo tu.
Ati huwezi shindana na dola ukaishinda, sema Muda ni mwalimu
 
Ahahaha,na njia ya kuwa kiongozi mwenye alama ni yule anayetekeleza mahitaji ya wananchi wake kama maji,umeme,miundo mbinu na uchumi ulio bora,hayo makundi uliyoyataja ni rahisi sana kuyamudu kama huna nia ya kutumikia wananchi,maana hayo makundi wanahitaji pesa tu
 
Ubinafsi Afrika hayo uliyoyaeleza umeyafuta
 
Serikali haitishwi na kususa. Labda mgome kulipa kodi. Hapo itakuwa KO

Ni vile tu huelewi ni hatari sana wananchi wakiisusia serikali, mafano leo Tanzania ikaaingia vitani raia wengi wataunga mkono majeshi ya nje, anagalia kilicho iangusha Libya, Leo akitokea mtu mwenye nia ovu na taifa hili anaweza kutumia mwanya huu kutengeneza vikundi vya waasi na raia wengi wakajiunga na mwisho serikali ikapoteza kila kitu.
Kwahiyo Uchawa wenu mjiangalie na hatma ya taifa hili.
 
Ubinafsi Afrika hayo uliyoyaeleza umeyafuta
Samia kwa kipindi cha miaka minne alitumia sana hii falsafa ya kuyashika hayo makundi ukiachana na TEC,lakini ndo anaenda kuwa kiongozi aliyeweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza kuua ili abaki madarakani,ni raisi ambaye kaingia bila kupigiwa kura,ni raisi ambaye kadanganya kashinda kwa 98% ya kura 32milioni bila aibu yoyote,Magufuli hakuwa muumini wa hii falsafa yako na aliweza fanya mambo mengi yaliyowagusa wananchi ingawa kundi la wanamtandao waliona wanaguswa sana kwenye mambo yao na kuamua kufanya walichofanya.
Magufuli alishindwa sana kumsoma huyu bibi,hakustahili kwenda naye awamu ya pili,hili ndo lilikuwa kosa lake kubwa sana lililomgharimu,fuatilia kuanzia mfumo wa Makamu wa Raisi uanzishwe,ni Magufuli tu ndo alienda na makamu wake awamu ya pili,hili lilikuwa kosa kubwa sana
 
Hamjambo wote!

1. Kutokuvuja kwa Siri za serikali hasa vikao vya ndani vya wakuu wa nchi ni kiashiria pekee ambacho kinaonyesha bado serikali inanguvu na haijapasuka.

2. Siku zote nasemaga adui mwenye nguvu ni yule aliyepo ndani kuliko wa nje.

3. Kadiri Siri zinavyolindwa ndivyo nguvu inavyoongezeka.

4. Ukimya na matokeo ya kushtukiza ni mbinu ya ushindi Siku zote.

5. Upande wa adui wa serikali hata kama ni wabishi lakini kama hali itaendelea kuwa hivi wanaweza kukata tamaa.

6. Adui wa nje anategemea zaidi udhaifu wa ndani. Kadiri ndani kunavyokuwa imara ndivyo nje kunavyodhidi kudhoofika.

7. Makosa ya serikali wanayoweza kuyafanya ni kutikisa waliopo ndani Jambo ambalo sio salama.

8. Mfumo wa Mnyororo ni mfumo pekee kuleta uthabiti. Inapotokea migogoro ya ndani. Njia sahihi ni kuketi na kuzungumza kisha kuwekana Sawa kwa njia salama. Lakini kukomoana au kukata kiungo chochote cha mnyororo ili kukiondoa na kuunga waliobakia sio mbinu Rafiki na huweza kuleta mpasuko kutokea ndani.

9. Nilisikia watu wakiombea viongozi na baadhi ya maafisa wa serikali kufa. Jambo ambalo ni dua la kuku.

10. Kwenye siasa hakunaga miujiza na miujiza ni Jambo ambalo haitegemewi kabisa. Zaidi miujiza hutokea kwa nadra Sana labda mara moja kwa miaka Mia moja au miaka kumi.

11. Siasa ni sayansi inayohitaji kuchukua hatua. Tahadhari na mikakati madhubuti.

12. Kumuombea Adui yako wa kisiasa aadhibiwe na Mungu ni kutangaza umejisalimisha na kushindwa.

13. Kitu pekee kwenye siasa ambacho wanasiasa werevu wanakizingatia katika mipango yao. Ni usiri. Na kipimo cha kujua mipango itatiki, mpo salama ni kutokuvuja kwa Siri za mipango na mikakati yenu.

14. Mbinu ya wanasiasa wenye akili hutumia false alarm/flag Tricks kama uzushi kusoma akili za maadui zao wa wazi na waliojificha. Lakini pia lengo likiwa kuhamisha mvumo wa habari moja kwenda nyingine.

15. Kila taarifa ni muhimu. Na Kila mwenye ushawishi lazima CV yake iwe juu ya meza za wakubwa ichambuliwe na kuchanganuliwa.

16. Kwenye siasa watawala wenye akili huhakikisha wanadhibiti au kusajiliwa makundi ya watu hawa;
a) Wenye pesa (wafanyabiashara na wawekezaji
b) Expert WA level za juu.
Hawa kwaajili ya huduma kama udaktari, uanasheria(Sheria), Mastermind, n.k
c) Vipaji na ushawishi.
Vipaji vikubwa ni mali ya Ikulu(Dola)
d) Viongozi wa Dini.
e) Viongozi. Wa vyombo vya ulinzi na usalama

17. Ni ngumu Sana kupambana na Dola ukashinda labda Dola yenyewe iwe na ubinafsi kutumia hizo rasilimali hapo juu.

18. Dola ishindwe kuheshimu, kujali watu hao hapo juu. Au iwafanyie ukora au ubabe.

19. Serikali ili idondoke lazima igombane na makundi matano pale juu.

Acha nipumzike sasa.

Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
si lazima itokee hivyo..
 
Sawa.
Waliokufa ni wangapi?
 
Back
Top Bottom