MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Unaweza kudhani uliyenae (tena Msaidizi wako) anakuunga mkono katika Maamuzi yako ya Kipuuzi kumbe Yeye Moyoni mwake si anakusanifu bali pia anakuona bonge la Juha.
Pia nimegundua ya kwamba Watu wa karibu (Wasaidizi) wa Siasa za Tanzania wakawa na Mawazo mazuri ya Kujenga na Kuisaidia Tanzania yetu kuliko Sisi Wakuu wao wa juu ambao huwa na Jeuri, Ubabe, Vitisho na Nyodo.
Kitu pekee tu ambacho Krav Maga namshukuru Mwenyezi Mungu ni kwamba Tanzania inaanza Kubadilika na wanaowajua Watu (Wanasiasa) Wema wa Kutuongoza ndiyo hao hao sasa wanawapa Majukumu ambayo huenda huko nyuma Wanasiasa wengine Waliwadharau na hata Kuwachukia pia.
Ukioa Mke Mwema tu Familia itastawi.