MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Nikweli kumpima kiongozi ni angalau siku 100 au zaidi.muda utaongea.Watu wajinga huwa si rahisi kuuficha ujinga wao,ulichokiandika kinadhibitisha uwezo wako wa kufikiri na kuona mbali,mtu huwezi kumpina kwa siku kumi tu MADARAKANI,mwingine ni ushabiki tu na chuki kwa alietangulia,weka miezi 6 mbele,uona jinsi ilivyongumu kuongoza nchi,
Nikweli kumpima kiongozi ni angalau siku 100 au zaidi.muda utaongea.