kabisa mkuu!majina kitu gani bana!kwanza watu wenyewe siku hata hawajui harufu ya perfume na majina yake!so hata simple brands unapeta tu!mfano kuna moja jamaa barabarani kaniuzia elf 10 napeta nayo tu,inaitwa VR ONE!jamaa sijui kaiba dukani mi sijui
Hapo sasa, ila hiyo ya play boy and reduction nimewahi kuskia the way zinavyonukia. So nice, ila majina sasa!
mkuu ingekuwa kuna uwezekana wa kubadilisha chupa yaani ningenunua niweke kwenye chupa nyigine
Au nanunua nakwangua jina lake lisijulikane kabisa
Kuna body spray moja inaitwa Attitude. I found it in Arusha. Can assure you was so nice. Tried to find its perfume in vain! And nowadays hata hiyo body spray siioni!
Ha ha ha! Ndo bimkubwa anakuja anakuta umepulizia kitu cha playboy, bora ukwangue jina kabisa!
Hahaha! Hii iliwahi nikuta asee ila niliuziwa ghali na bado ikawa feki, unapuliza, ukitoka tu nje haipo...Thats the problem. Mfano hii ya 212 sexy men ipo ya 5,000 sasa ukipaka inaishia hapohapo
Rasasi nini, sema ngoma inaitwa UDDY!
Utashangaa niliiona kwako sasa
kama ni kamba useme ulikuwa umeweka chupa tupu mezani kwako
Hahaha! Hii iliwahi nikuta asee ila niliuziwa ghali na bado ikawa feki, unapuliza, ukitoka tu nje haipo...
Kuna vijiperfume vinatembezwa na chinga vinauzwa buku mbili, vinanukia hivyo, sema nyingi hazina harufu nzuri, vinakera usiombe ukae siti moja na mtu aliyepuliza hivyo viperfume, utaomba konda akuhamishe siti lol.
haya mkuu!check ur pm!
Inaeleweka inaleta mvuto wa kimapenzi, kwani kuna lingine, na wewe taja basi perfumes nzuri sio lazima uwe nazo, wakati mwingine umemsikia mtu tu au ulitumia zamaniso far wengi wetu tumeishia kutaja mijina ya perfume kama tuko ktk mashindano ya kujua majina ya perfume,mtoa mada anataka pia tueleze zina impact gani ktk mahusiano yetu!
Mi nilinunua moja inaitwa HorseNice ni nzuri sana jaribu kuitafuta madukani. Si tunaoishi HorseCity huwa tunaitumia sana. Ubaya ni kuwa imeandikwa kwa HorseLanguage unaweza shindwa kuelewa maandishi yake.