kabisa mkuu!majina kitu gani bana!kwanza watu wenyewe siku hata hawajui harufu ya perfume na majina yake!so hata simple brands unapeta tu!mfano kuna moja jamaa barabarani kaniuzia elf 10 napeta nayo tu,inaitwa VR ONE!jamaa sijui kaiba dukani mi sijui
Atakuwa ametoka nayo kwenye duka la mhindi maana hizo ni noma unakuta mtu anakuuzia perfume nzuri kinoma hata D & G kwa bei ya kutupa kwa kuwa ameichukua kwa mdosi