Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Mkuu kwa hapo 3,5 & 7 ni mwake sana na huwezi zikosa kwenye list
situmii hata moja hapo na bado ni mwanaume!anyway perfume ziko brand maelfu kwa maelfu na bado mamia kwa mamia zinaweza elezwa kuwa the best!nje ya list yako zipo kali nyingine
1.Issey Miyaki
2.Everyone
3.Pole Position
Mc no moja imekaa kibaba sana yaani wanatumia wazee fulani hivi