Kitu Perfume. . . .

Kitu Perfume. . . .

Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...

1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren

Mkuu kwa hapo 3,5 & 7 ni mwake sana na huwezi zikosa kwenye list

situmii hata moja hapo na bado ni mwanaume!anyway perfume ziko brand maelfu kwa maelfu na bado mamia kwa mamia zinaweza elezwa kuwa the best!nje ya list yako zipo kali nyingine

1.Issey Miyaki
2.Everyone
3.Pole Position

Mc no moja imekaa kibaba sana yaani wanatumia wazee fulani hivi
 
situmii hata moja hapo na bado ni mwanaume!anyway perfume ziko brand maelfu kwa maelfu na bado mamia kwa mamia zinaweza elezwa kuwa the best!nje ya list yako zipo kali nyingine

1.Issey Miyaki
2.Everyone
3.Pole Position
Namba 1 nzuri sana, mie pia naitumia... Haikeri imetulia..
 
@ Mr Rocky... Hapana bana hiyo imekaa kibaba/kizee labda kwako...lol...
 
@ Mr Rocky... Hapana bana hiyo imekaa kibaba/kizee labda kwako...lol...

hahahah Sl inawezekana kwangu mimi sijaipenda sana harufu yake au kwa vile alikuwa anaitumia mzee mmoja jirani yangu
 
SL habari yako bana
Umepotea kama shilingi ya mkoloni
Am good Mr Rocky , mie nipo sana tu! Wewe ndie ambae umepotea sana, afu sijui mmeambizana na swahiba TF manake yeye pia ameadimika kama jasho la kuku! Muwe mnaaga basi..
 
haa...basi atakuwa kamuiga Mtu Chake wangu....hata yeye ni hiyo hiyo...pamoja na #3.....Nitty kwa kuiga hajambo.....

Hahaha! Umeniwahi manake nilitaka kukuuliza shemeji mtu chake huwa anatumia ipi?...lol

subiri akuje ntakusemea eti umesema amemuiga mtu chake wako! Nitty hakosi 5 na 7 kamwe!..
 
Kwa sasa sina imani na perfume yoyote, labda ninunue Paris kwa wenyewe! Mimi nilikuwa mpenzi sana wa Eternity, Brut, Lomani. Lakini mwanzoni mwa miaka ya 2000, nilikutana na zilizochakachuliwa, yaani full KUNUKA! Siku hizi nanunua kwa machale sana HUGO BOSS, OPIUM na GIVENCHY!!

Uchakachuaji umezidi ndo tatizo
 
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...

1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren

Ooh TF,you are a real man bana,hasa hapo 9&10,upate Polo black or Blue na uwe na HOTPLAY ya LANCOSTE hata confidence inaongezeka bwana.Kuna mdada wa kizungu nilikuwa nafanya nae kazi alinipakiza kwenye gari yake aliniambia "......yaani huo weusi wako na jinsi ulivyo na unavyonukia natamani kukutafuna......"
I just admire that TF.
 
Shemegi, hizi mtaani kwetu, pamoja na nyenzao inaitwa Cobra ni za kupulizia maiti!
Hahaha. PJ umeua, niliwahi kuhudhuria msiba mmoja sasa ile maiti ilikuwa inapuliziwa cobra kila saa, hiyo ikanifanya niichukie na kuiogopa sana cobra, hivi bado ipo? Manake enzi hizo nilikuwa bado mdogo...

@ preta hutumii cobra yakhe lol.
 
hivi unajua PJ ana tumia ipi...?....mmmh cobra hapana aisee.....labda Rasasi....

Uwiii, kuanzia leo naacha kuitumia lol.

Usiache bana kama unaipenda
Ni leo kama nimsikie mzee anatumia One Million nitaacha hapo hapo kuitumia au 212 nitaacha hapo hapo

Am good Mr Rocky , mie nipo sana tu! Wewe ndie ambae umepotea sana, afu sijui mmeambizana na swahiba TF manake yeye pia ameadimika kama jasho la kuku! Muwe mnaaga basi..

TF sijui yuko kwenye mikakati gani kwa sasa maana ile ya kanisa watu walimshtukia akaamua kuachana nalo
 
Back
Top Bottom