kitugani ambacho kwa watanzania wengi siya kawaida yetu tunaiga?

kitugani ambacho kwa watanzania wengi siya kawaida yetu tunaiga?

kula denda.
Kutumia simu na kompyuta.
Kusheherekea happybirthday
kuvaa nguo kama shati na suruali.
kuendesha gari.
kutazama tv.
kupiga picha.

Kusikiliza radio.

suprise ya maua. AISEE NI MENGI SANA, waafrika sijui walikuwa wanaishi vp,yaani kama wa+y>m*
 
-Kumpelekea mgonjwa hospitalini maua!
 
Kumpiga mume sijawai ona

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom