Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

Hahahaha 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 umenikumbusha singo mama mmoja alimwambia rafiki yangu Hadi wafunge ndoa ndo ale mkate🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 unamtoto halafu unabania...🙆🙆🙆
DUUUH 🤣
 
1. Tu assume aibakwa,
2. Alifanya kosa ameamua kutubu na kuacha zinaa hadi ndoa,
3. Alidanganywa ataolewa akaachwa so amejifunza trick za wanaume waovu
4. Hakupendi ameamua akuzunguushe huku akikulia vyako,

Whatever the case, bint kutokua bikra hakukupi mandate juu ya mwili wake, kama vipi kanunue wanaojiuza
 
nitakubali in one condition, tufanye romance with no sex kwanza, then ndoa itakua ni kanisani tu, na mahali nitatoa nusu kwanza.
 
1. Tu assume aibakwa,
2. Alifanya kosa ameamua kutubu na kuacha zinaa hadi ndoa,
3. Alidanganywa ataolewa akaachwa so amejifunza trick za wanaume waovu
4. Hakupendi ameamua akuzunguushe huku akikulia vyako,

Whatever the case, bint kutokua bikra hakukupi mandate juu ya mwili wake, kama vipi kanunue wanaojiuza
Yote ni batili isipokua namba 4 tu.

Sent from my Nokia 3.4 using JamiiForums mobile app
 
Ana haki pia,lakini wafumbueni macho pia kuwa kuolewa siyo kila kitu...unaweza olewa na ukaenda ikosa furaha....ivo waelimisheni watest mitambo kwanza wasije wakakutana na mume asiyejua hata tundu sahihi la kutomb3a ni lipi mwisho akang'ang'ania jicho
 
Duuh mwaisa mwaisa, hata mbuzi au kuku hakosei tundu japo haliangalii sembuse anaeweza hata kuangalia nitumbukie wapi jamani!!
 
Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
Kwa hiyo unataka kosa lake la kwanza lihalalishe upuuzi mwingine?Halafu,unataka uonjeshwe,kwani ni karanga hizo?Hata karanga zenyewe siku hizi zinafungwa kwenye vijifuko vya nailoni.Hamna za kuonja.Kuwa siriazi na sehemu za siri za watu.Usichukulie poa.Utagongwa na baisikeli.
 
1. Tu assume aibakwa,
2. Alifanya kosa ameamua kutubu na kuacha zinaa hadi ndoa,
3. Alidanganywa ataolewa akaachwa so amejifunza trick za wanaume waovu
4. Hakupendi ameamua akuzunguushe huku akikulia vyako,

Whatever the case, bint kutokua bikra hakukupi mandate juu ya mwili wake, kama vipi kanunue wanaojiuza
Thread ifungwe
 
Kwa hiyo unataka kosa lake la kwanza lihalalishe upuuzi mwingine?Halafu,unataka uonjeshwe,kwani ni karanga hizo?Hata karanga zenyewe siku hizi zinafungwa kwenye vijifuko vya nailoni.Hamna za kuonja.Kuwa siriazi na sehemu za siri za watu.Usichukulie poa.Utagongwa na baisikeli.
Babe ndio maana nakupendaga
 
Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
Sio kwa ubaya, ila utaelewa hii ukiwa na binti wa kike au mke halafu awe anagongwa na kila mtu. Utaielewa hii vyema ikikutokea tena mara nyingi.
 
Back
Top Bottom