Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

Duuh napita tu jamani
 
Hii kitu inauma Sana chief [emoji23]
 
Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
Pole, naona povu kama lote. Kukataliwa kubaya!!
 
Ridemu flani la Mbagala liliniambiaga hayo hayo!!! ivi kumbe bado mpo weengi eti cha kuchekesha likanambia eti tusionjane mpaka niliwowe!! Mweee!! halafu eti hela za Matumizi/tiba linataka kutoka kwangu!! heee!

Nikaliambia wala isiwe taabu sikupi hela!! sababu sijakuwowa so subiri tuwowane nitakupa!! maweee lika kata kamba jii mpaka leo sijui liko wapi! mengine janja janja tu hata kizazi lilisha ng'oa!

Hakuna me mwenye ujasiri wa kubaka Mke/mdada!! ila wanajibakisha tu, ili wapate sifa!..na mara nyingi hawaolewagi!......Dunia yote hii vidada ndo vinabaka me sana! sababu vinakomaa mapema kabla ya wkt!

Me walivyo! km akikosa hela, mkewe akiwa mapepe hatulii au aki-mbwato nje huko /nuna tu, ndani ya nyumba, kamwe mwanaume Mnara hausomi/ hausimami vizuri!! sembuse kutumia nguvu za kubaka??

Kam alitubu kwa mungu wake huyo,nisiye mjua basi atapewa mme huko huko! tobani kwake, sababu mume bora atapewa na mungu wake siyo mie!

Km alidanganywa na walio pita akakubali basi ni mjinga sana! sababu hana machale akili/ wala maono?? hata nikimuoa ni mzigo atadanganywa vilevile! akajifunze aendelee kujifunza mpaka awe tayari kutoa papuchi!

kama ameamua kunilia vyangu basi Huyo ni mwizi km walivyo vibaka!! hana tofauti na kaka poa au ni jambazi hasa kwa hiyo moto wa jehanamu unamfaa achomwe tu!

Mwili wake ni mandate kwangu kwa sababu tunahitajiana! km hataki aseme hataki! nisepe zangu. nisake vimwana wengine watamu kuliko lkn kuonja chakula popote ni Must!

habari za kuwowa kavukavu! kisa?? kuto kuonja ni huko vijijini unamjua demu tangu anakua! hata kama hana mashavu makubwa nijue! wengine tunapenda vitu vya kutema mafuriko, kurusha kma bwawa raha sana!

ninayachapa sichoki! kadiri yanavo kuja ndo na mie napendaaa kuogelea mpaka yanakauka kau! karibuni wenye Mabwawa yanayotema!
 
Aaahh mimi nikishaona ivyo nachukua 50 zangu kumbe kuna muhuni anahudumiwa wewe anakuzungusha eti mpaka unioe aisee mkuu ulimweza kweli.
 
Kweli kabisa. Aliahidiwa ndoa, akamlisha mkate siku moja tu, mimba hii hapa. Atakuwa mjinga akirudia tena.

Siyo single mothers wote walikuwa wadangaji. Kuna wengine walirubuniwa hivihivi wakatoa mkate kisha yakawa hayo.

Kuna kisa kimoja kilisimliwa redio Maria songea miaka kadhaa iliyopita. Binti alikula msimamo hadi jamaa alipotangaza harusi. Siku mbili kabla ya harusi akaamua kumpa jamaa aonje maana si muda watakuwa mke na mume. Kumbe jamaa alikuwa tapeli. Alipoonja tu siku ya harusi akiwa nje ya kanisa, alitoroka na kumtelekeza bibi harusi na shela lake.

Wanaume, baadhi tumekuwa chanzo cha maamuzi haya ya wadada.
 
Kuna MTU nishawahi date nae alikuwa anaangaika kweli kupata pa kuchomeka....K kavu ivo tundu kulipata ikabidi nimsaidie tu
kwa hiyo ukawa unamfundisha kijana wa watu jinsi ya kuzini. Una dhambi sana wewee🀣🀣🀣
 
Lazima uliwe na ule mie siitaki kubana maana ikute naolewa na mtu hajui mapenzi mie siitaki mwanaume ambaye hajua kula chakula vizuri mtu aenjoy mitaka mtu anayejua mizuka tuoane na nitampa vyema watu wanasema Malaya ila Wala hatujali nataka mtu ajue kut*****a hadi ukiamka umkiss yaani akikupa kakupa vizuri sio matigo , unatoa nyuma hao waajuagi kutema cheche ndio maana waenda tigo nyuma ilaanayekushughulika wewe anakupa vizuri so kama ukipewa unasepa sepa atakuja atakayetulia tulia na Mimi siwezi olewa nikachepuke Tena Sina energy yakutoa mara mbili nipo busy sana
 
Mi kuna demu alinambia hvyo eti yeye ni bikra mpaka nimuoe ndo atanipa mzigo nikampotezea siku moja ananiambia nilikuwa nakutania tu mp leo hii sina mpango naye mi mwanamke akinambia hvyo nakimbia mbali sana.
 
Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
Kwa akili yako ya kibloflo boflo unaamini kabisaa kuwa mtu akifanya mistake moja hana nafasi ya kujirekebisha.

Acha kuwa na akili za nyegere
 
😁😁😁 single mother wana matatizo mengi sana
 
🀣
 
Kumbe bikra ni thamani ya roho na mwili! sasa mbona wanaitoa kwa chipsi kavu? Aisee
 
Acha kuassume tumia akili. Wewe una assume kwan yeye hana mdomo wa kusema sababu zilizomfanya kuwa na mtoto?!

Na nini kinazuia kulala nae sasa hapo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…