Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Kama mnajiamini ndio mtumie nguvu zenu na uwezo wenu mpate hayo mashamba msitegemee kuomba msaada,serikali yetu ina mambo mengi ya kufanya.
 
Aaahahaaa ndio maana wenzako wanakuita wewe ni imitunga.

Ulivyo na akili ndogo eti wachagga wakienda hawarudi kwao?!

Kuna kabila lina desturi ya kurudi kwao kama wachagga?! Acha kulinganisha wachagga na Makabila ya ovyo ovyo!
Zaidi ya kurudi December, mchaga hua harudi kwao

Kwanza wewe utajua nini maana ushafanywa pesa na mangi mjanja hahaha.
 
Mkuu Loyalist mwambie asilinganishe taifa teule la Mungu na vitu vya kishenzi


Walivyo wapumbavu sasa, wameshachukuana imitunga, sasa wanaonea wivu wenzao waliofanikiwa

Wanadhani maendeleo yanaletwa kwa kuua wazazi kwa mapanga au kukata viungo vya albino?!

Hawa watu ni wapumbavu sana aisee, ndio maana umasikini wao hauishi kamwe mkuu Stamina
 
Mkuu Loyalist mwambie asilinganishe taifa teule la Mungu na vitu vya kishenzi
Taifa teule maanina hahaha, taifa teule limejaa vichaa

Yaani ukianzia Marangu Rombo Moshi mjini Kibosho mumejaa vichaa watupu hahaha sina uhakika na machame maana sijakaa sana pale

Eti taifa teulee, huku umebana pua.
 


Mkuu Loyalist hakuna kanda yenye umaskini mkubwa kama hii, wanadai wako wengi, kumbe wingi wa umasikini tu kama nyumbu, na vile mzee baba meko kawadanganya waendelee kufyatua watoto kama simbilisi ndio balaa, wanadhani kila mtoto anakuja na sahani yake ya wali mkononi. Begi la nguo na mahitaji yake muhimu. Ahahahaaa.

Mpumbavu kabisa!
 


ahahaaa, mkuu hebu tuachane na hawa vilaza, maana tutakesha hapa tunajadili wajinga!

Wacha niingie church kidogo, misa ya pili,
 
ahahaaa, mkuu hebu tuachane na hawa vilaza, maana tutakesha hapa tunajadili wajinga!

Wacha niingie church kidogo, misa ya pili,


Poa kaka. Nenda kafanye ibada. Maana wenzetu dini zao tunazijua kufuga imitunga na ibada zao ni kule patakatifu pa patakatifu GAMBOSHI.

Ahahaaa! Hatari sana!
 
Kama waliwahi kuomba na kuhamishwa katavi, morogoro na Tanga,

Kwani Leo wakiomba kupewa maeneo kuna ubaya gani?!

Someni historia msikurupuke kupayuka payuka tu, acheni kupuyanga!
K Kama hili lilifsnyika huko nyuma halikuwa sawa. Siyo kwasababu jambo kafanya Nyererr basi ni sahihi au zuri.
 
Huwezi pambana na kabila kuu ambalo sasa linaelekea kuwa robo ya watanzania wote. Wewe unaelekea ni mmojawapo yale wale mazezeta ya kishimundu au ile mijitu legelege ya uru na kilema.
Wewe una utajiri gani ? Kumiliki robo eka ya mchaichai na mbuzi wawili ndio utajiri ?
Nishakwbia nenda kaondoeni nyumba za tembe Kwanza kwenu ndipo uje hapa
 
K
Kama hili lilifsnyika huko nyuma halikuwa sawa. Siyo kwasababu jambo kafanya Nyererr basi ni sahihi au zuri.


Unajua maana ya jambo kuwa sawa legally na kutokuwa sawa illegally?!

Logic yake ni je, WAKIOMBA ARDHI WAMEVUNJA SHERIA?!

kama hawajavunja sheria basi hoja sio nyerere kuruhusu hoja ni kwamba WAKO SAWA KISHERIA ,
 
Asante kwa kumjibu kwa niaba yangu
 
Hahaha
 
Unajua maana ya jambo kuwa sawa legally na kutokuwa sawa illegally?!

Logic yake ni je, WAKIOMBA ARDHI WAMEVUNJA SHERIA?!

kama hawajavunja sheria basi hoja sio nyerere kuruhusu hoja ni kwamba WAKO SAWA KISHERIA ,
Ndiyo maana kuna moral law na legal law. Hata kama lipo kisheria(legal) lakini si sawa. Nchi hii ipo huru, mtu anaweza kwenda popote na kupata ardhi popote. Na sheria ya ardhi ya 99 inaeleza utaratibu wa kupata ardhi. Sasa hao ambao wameshiwa ardhi wajiorganize na na kwenda kupata ardhi sehemu nyingine kwa utaratibu, hakuna anayezuiwa lakini si mbunge mzima anaomba Rais awape ardhi watu wake kama vile wamekatazwa kupata ardhi kwingineko?
 
They will remain first class like it or kill yourself... Remember it's the brain that matter, once you have it no one can take it from you... Utaswaga ng'ombe sanaaaaa...
eti ataswaga ng'ombe sanaaaa😀😀😀
 
Mkuu mimi nipo hapa moshi, ukienda Uru pale kila mji lazima ukute mwehu

Marangu ndo usiseme

Rombo utakimbia mwenyewe

Huku utu ni pesa, ndio maana wakifika Mwanza au Moro hawarudi kwao hahaha.
Wewe kweli hazimo,Kuna watu wanaothamin kwao kuzid wachaga? Umeshawah ona nyumba yoyote ya nyasi UCHAGANI? Mbumbumbu we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…