Hata mpumbavu akikaa kimya huhesabiwa kuwa ana hekima. Zamani Kimei alikuwa kimya tulimuona mtu mwenye akili. Leo ameanza kuongea ndiyo tumejua ukilaza wake. Eti anamuomba rais ardhi kwaajili ya wananchi wenzake!Wewe kilaza ni nani umwambie PhD holder, bot and crdb credible, mpuuzi mmoja mzururaji tu.
Hata mmbunge wenu msukuma hawezi hata kumfungua kamba za viatu sembuse kilaza mmoja wa darasa la tatu B kutoka makoroboi, acha kuchekesha watu bwasheee. Kakojoe ukalale.
Hata mpumbavu akikaa kimya huhesabiwa kuwa ana hekima. Zamani Kimei alikuwa kimya tulimuona mtu mwenye akili. Leo ameanza kuongea ndiyo tumejua ukilaza wake. Eti anamuomba rais ardhi kwaajili ya wananchi wenzake!
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake usije ukafanana nae!
Wewe nae ukoo wenu mzima hamuwezi kamwe kimfikia kimei, hata mkaroge kule gamboshi kwenu,
Credibility ya kimei wewe ngumbaru na familia yako kamwe huwezi hata kuinusa! Utaisikia kwenye bomba tu! Wewe endelea kufuga imitunga yenu! Kimei ni next level,
Wao waendelee kuua vikongwe wao na kufanya uchawi labda wataendelea.
Habari za kimei hawezi kufikia akili yake hata robo. Kimei kawazidi akili sana kama mbingu na ardhi ndio maana hawezi kumwelewa kamwe.
Unaweza kwenda benki kuomba hela kwa sababu siyo kosa?Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake usije ukafanana nae!
Wewe nae ukoo wenu mzima hamuwezi kamwe kimfikia kimei, hata mkaroge kule gamboshi kwenu,
Credibility ya kimei wewe ngumbaru na familia yako kamwe huwezi hata kuinusa! Utaisikia kwenye bomba tu! Wewe endelea kufuga imitunga yenu! Kimei ni next level,
Unaweza kwenda benki kuomba hela kwa sababu siyo kosa?
Ardhi inakuwaje tatizo... Moshi ni wilaya sio mkoaMoshi ardhi ni tatizo kubwa, kuna kipindi Nicodemus Banduka akiwa mkuu wa mkoa wa pwani alienda kugombea nafasi ya ubunge kwao moja ya kampeni yake ilikuwa ni kuwatafutia wachaga ardhi pwani.
Kimei kama angepewa uwaziri angefanya kama aalivyofanya CRDB kujaza wachaga, mapovu ruksa.
Moshi walianza kutambua thamani ya ardhi mapema ukienda mahakama kuu kitengo cha ardhi kesi nyingi zinawahusu wachagaArdhi inakuwaje tatizo... Moshi ni wilaya sio mkoa
Wafuga mafisi sahv mmeshikishwa adabu maringo yote kwisha ,mtazd kubaki maskini mno maana aliyekuwepo pamoja na kuwabeba beba bado mlibaki kuwa mikoa maskini sasahv sipati pichaHuna lolote kumiliki chuo kibovu kama Eckeniford ndio utajiri. Nimefika hapo Tanga chuo chenyewe majengo yake ni hovyo kabisa. Nimekupa Nondo uzijibu unaruka ruka kama kipepeo. Hakuna Bilionea mchagga Katika Jiji la Mwanza. Waliopo ni wabangaiziaji tu.
Naam na ndio maana kuna maendeleo,moshi ardhi haiwezi kuwa idleMoshi walianza kutambua thamani ya ardhi mapema ukienda mahakama kuu kitengo cha ardhi kesi nyingi zinawahusu wachaga