Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Wapumbavu sana, wanadhani kumchukia aliyefanikiwa watalingana nao, kumbe kufanikiwa ni juhudi za jamii Fulani huwezi kufanikiwa kwa kujenga chuki na visasi,

Chuki umuumiza aliyeiweka kifuani!
Comment yako inaonesha kuwa ninyi ni bora kuliko makabila mengine otherwise kwanini uhisi mnaonewa wivu.

Huoni hio kauli yako ndo INA ukabila kihalisia. unahisi kila aliyecomment tofauti Na wewe anawaonea wivu Na ni mpumbavu.

U really need professional help.
 
Hakika wewe ni kubwa jinga.
 
Unahisi tunapoweka hifadhi hatuna akili.huwezi develop nchi nzima.

Hata USA the world superpower ana hifadhi Na mapori pia.

Mnazaliana hovyo hovyo sana.
 
Mkuu kumbe Makabila yaliyobaki ni inferior kwa Wachaga!! Na wanaonewa wivu!
Nani kasema ni inferior? Kwa nini unaingiza kitu ambacho sijasema. Nimesema kuwa wazungu walipokuja moja ya maeneo waliofanya makazi ni Kilimanjaro. Kwa hiyo walileta positive influence iliyosabaisha wengi wa wakazi wa maeneo hayo kuendelea. Ningekuwa naona wachaga ni superior ningesema maendeleo yao yalisababishwa na akili zao kitu ambacho sidhani. Kuhusu kuonewa wivu hili liko wazi. Kumekuwepo na chakuchaku za chini kwa chini hasa awamu hii ya kutaka kuonyesha kuwa wachaga siyo watu wazuri na kujaribu kuwadhibiti.
 
Tuhuma zako siyo mpya. Zimejijenga kwenye ile ile dhana ya ''mbaazi isipozaa husingizia jua''. Afrika tuko nyuma kimaendeleo na watawala wetu siku zote wamekuwa wanalaumu mabeberu badala ya kujiangalia sisi wenyewe. Watanzania weusi kila siku hatuishi kuwalaumu wahindi tunapokumbwa na masaibu. Na nyie hamuishi kuwalaumu wachaga mnapokumbwa na shida. Lbda nikuambie kisa cha watu wasio wachaga kuitwa ''vyasaka''. Vyasaka maana yake ni watu wa porini. Ukweli ni kuwa wachaga wamezoea boma wanaloishi linazungukwa na migomba na kahawa na lina kivuli. Hii ni tofauti na sehemu kama Dodoma ambazo boma la familia liko tu porini. Hivyo wakajikuta wao wanajiita ''watu wa migombani'' na sehemu ambazo hazina migomba wakaita ''watu wa porini''
 
We don't do that primitive shit anymore.
Eti uhamishe jamii. Tuna jamii moja tu ya MUHIMU sasa inaitwa Tanzania.
Wanazaliana hovyo hafu unataka maeneo mengine ya bure.

Acheni kuzaliana hovyo hovyo.
Wewe naona una ugililigili mkubwa sana. Umepigigika nini? Au uko kwenye hii awamu ambayo inajidanganya kuwa imedhibiti wachaga!
 
Mkuu sina maana ya kuwaonea wivu jamaa yangu

Hoja yangu imejikita hapo kwenye ardhi, kwamba why ni rahisi mchaga kupata ardhi Morogoro au Mwanza ila ni vigumu Mluguru kupata ardhi Moshi,

Ila mkuu nimependa lugha unayotumia si ya matusi sana kama wenzako

Tuishie hapa sisi ni Watz, hili halitabadilika.
 

Kufanya kosa mara ya kwanza sio kosa, kurudia kosa ni kosa. Kwa maneno mengine, historia nyingine ni mbovu, na ni sehemu ya kujifunza zaidi.
 
We don't do that primitive shit anymore.
Eti uhamishe jamii. Tuna jamii moja tu ya MUHIMU sasa inaitwa Tanzania.
Wanazaliana hovyo hafu unataka maeneo mengine ya bure.

Acheni kuzaliana hovyo hovyo.
Who is "We" ??

Alafu kuna baadhi ya watu ni ziada tu hapa nchini , including wewe na jamii yako

Kama sio mchaga , mhaya, msukuma au mkinga , wewe ni ziada tu

Nyerere mwenyewe Alisha wahamia itakua kiaz kama wewe ?
 
Ardhi nyingi zipo kwa wanavijiji na sedikali za vijij.Zingine za kuvamia tu, wasukuma na wamasai wamang'ati wamevamia sana ardhi na wala serikali haijawahi kuwafukuza ispokuwa hifadhi pekee.Wahame kama masai.
Wamasai ni jamii zinazo hama hama kufuata malisho ya mifugo yao , same thing na baadhi ya wasukuma , wachaga hawana tabia hiyo
 

Huu sasa sio ujinga Bali ni upumbavu,

Unapolazimisha usielewe huwa ni tatizo kichwani, wale wachagga waliopewa ardhi Rukwa walileta tatizo gani nchini?!

Wale waafrika kusini walipewa ardhi Dumila, morogoro na Dodoma walileta tatizo gani nchini?!

Wale watutsi na wahutu waburundi walipewa uraia na ardhi na kikwete eneo moja wameleta tatizo gani nchini?!

Wale wasomalia waliopewa uraia na ardhi kule tanga, eneo moja, wameleta tatizo gani nchini?!

Nyie watu wakanda ya ziwa mmejaa wivu na chuki sana kiasi cha kudhani kwamba mkimchukia aliyeendelea basis na nyie ndio mtaendelea that's absolutely nonsense!

Huwezi kufanikiwa kwa kumchukia aliyefanikiwa never! Hebu jifunzeni kuficha wivu wenu na chuki zenu za kikabila hata kidogo!
 
Kila mtu Kabarikiwa kwenye fani yake ..huwezi kuwa sawa kote ,ni marachache .......kuna sehemu ukipewa ufanye kitu utaboronga tu hasa kama ulibobea zaidi sehemu fulani........Mcheza mpira ukimpeleka kwenye basket ball what will happen ?landa kama aligusagusa basket ?

Mzee ndio anaanza siasa tumpe muda azizoee
 
Kuna watu wakabila zaidi ya wachaga kwenye hii nchi.

Wakishika ofisi yoyote wanajaa wao.
We kweli kiazi, wasukuma ni wakabila kuliko hata watutsi, hivi unajitoa ufahamu huoni jinsi JIWE alivyojaza wasukuma serikali?!

Hebu anza kuhesabu mawazari uone ni kabila gani limeesheheni kwenye nyazifa hizo?! Nenda kwa wakurugenzi kuanzia TRC mpaka bandari, njoo jeshini, anza na mkuu wa majeshi,

Hata nyerere akujaza wazanaki namna hiyo! Alafu eti kwa ukabila kama huu mnataka kumfananisha na mwl nyerere thubutuuuu!

Nyerere alijaza wazanaki serikalini au jeshini?! Nyerere aliipendelea Butiama kama ilivyo sasa Chato?!

Alafu bila hata haya wala aibu unakuja hapa na kujitoa ufahamu unadai wachagga wakabila ofisi, mzee MEKO huoni anavyofanya sasa kuwajaza wakwenu?!


Alafu mnataka aongezewe muda??? Thubutuuuu mnataka kuigeuza Tanzania kama Rwanda?! Acheni upumbavu nyinyi!

Shame on you!
 
Mmm. Umepiga ikulu mkuu.

Sasa hivi wamejazana kila sector. Mpaka kwenye miradi ya mwendokasi mbagala wanaletwa kutoka mwanza na shinyanga. Yaani sisi wakazi waeneo la mradi husika tunakosa kazi hata kama tuna professional husika . anapigiwa simu mwananzengo kutoka geita isulwa butindwe aje kibaruani.

Kweli awamu hii wametushika. lakini sio mbaya bado minne tu asepe tuone kama upendeleo huu wakuwajaza wananzengo kwenye kila miradi na wenyeji kutoswa makusudi kwa kutumia formula ya kamleta itaendelea baada ya mfalme wao kutokomea. It's just matter of time, time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…