Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa karibu kila kijiji kina zahanani na kwenye kata kuna kituo cha afya.
Nadhani lengo la CCM ni kupata kura ili waendelee kutawala na si kutatua changamoto za wananchi ndani ya jamii.
Sasa zahanani ina watumishi wawili tu itaendeshwaje?
Kijijini kwetu huko ndani ya wiki moja lazima angalau siku 1 au zaidi zahanani ifungwe watumishi wako mjini kufuata dawa, kuhudhuria semina elekezi au kufuatilia majitaji yao ikiwa pamoja na mikopo.
Kuna kijiji zahanani ina mtumishi mmoja tu, awali walikuwa 3 mmoja kahama.
Huyu akiumwa na kwenda hospitali ya wilaya funguo za zahanani anamwachia mgambo.
Ndege moja kubwa ya abiria gharama yake ingeweza kuajiri na kuwalipa mshahara wauguzi, laboratory technician na madaktari kadhaa kwa muda wa mwaka mzima.
Ila serikali hii kipaumbele chake hakijulikani.
Leo hii am sure hata umuulize Waziri wa uchumi akuambie kuwa sasa kama nchi tuko kwenye sera gani hajui.
Muulize tuko kwenye Tanzania ya kilimo, Ufugaji, madini, Uvuvi, viwanda au biashara hajui .