Nilimpasua mvulana alikuwa akinita "mchumba" alafu simpendiiii, nikamvizia siku ya siku na jiwe.Mmh au ndo wewe ulinipasuaga kwenye paji la uso? Sema me sikushonwa, kweli hujaanza leo kuonea wivu reception yangu
Hahahaah yani mito na mashauzi yake yote anayotuleteaga kumbe "semosi" ilishamtenda vibaya. Naona sasa hivi kila nikiona semosi ntakuwa namkumbuka. Nimecheka sana, ngoja aje leoHahahaaaaa! Yaani nimecheka hadi nimelia maana sio kwa kufakamia chai huko ikiwa ndani ya "semosi"
Yaani hapa nimeiangalia semosi nikamkumbuka yeye, nshomile mashauzi kaanza alivyofikisha miaka 48Hahahaah yani mito na mashauzi yake yote anayotuleteaga kumbe "semosi" ilishamtenda vibaya. Naona sasa hivi kila nikiona semosi ntakuwa namkumbuka. Nimecheka sana, ngoja aje leo
Hahahaa umeteleza huku nguo umevua teh tehNakumbuka i was7, alafu wakati huo ndio nimejua kuogelea basi natamani kuogelea kila wakati na vyanzo vya maji viko mbali.
Siku nikaondoka mchana jua kalii kwenda kisimani kuchota maji maana mchana wengi huwa hawaendi coz of jua.
Kufika nikaangalia kushoto na kulia hakuna mtu nikavua nguo nikatumbukia kuogelea.
Aisee nilipitiliza nikanywa maji ya kotosha, nikiwa ktk hali ya kutapatapa akatokea mama(kama bahati tu) akaniokoa na kunitapisha maji yote.
Akaniuliza imekuwaje? Nikamjibu niliteleza, akauliza uliteleza vipi ikiwa nguo umevua ziko pembeni? Nikabaki natoa macho tu, akanipa stik za kutosha, daaah!!
Aah kumbe alikuwa ni mkaka. Daah kuna mtu alinipasua na jiwe tulikuwa kanisani wenyewe kwenye mazoezi ya "sikukuu ya Michael na watoto". Tena ilikuwa muda wa tuition ila niligoma kwendaNilimpasua mvulana alikuwa akinita "mchumba" alafu simpendiiii, nikamvizia siku ya siku na jiwe.
Yani leo bora asiingie tu humu, sio kwa vichambo nitakavyompa. Sasa hivi anatudiss eti tunatafuta ushirikiano naye kumbe hahahhahaYaani hapa nimeiangalia semosi nikamkumbuka yeye, nshomike mashauzi kaanza alivyofikisha miaka 48
Hahahaa umeteleza huku nguo umevua teh teh
Aah kumbe alikuwa ni mkaka. Daah kuna mtu alinipasua na jiwe tulikuwa kanisani wenyewe kwenye mazoezi ya "sikukuu ya Michael na watoto". Tena ilikuwa muda wa tuition ila niligoma kwenda
We muache, chai tu ilimtoa ushamba alafu sasa hivi anatuchamba na pair zetu moja moja za viatu.Yani leo bora asiingie tu humu, sio kwa vichambo nitakavyompa. Sasa hivi anatudiss eti tunatafuta ushirikiano naye kumbe hahahhaha
Wewe ngoja aje kututembelea afu ajifanye anataka juice, ni chai tu hata kama saa 8 mchana tehWe muache, chai tu ilimtoa ushamba alafu sasa hivi anatuchamba na pair zetu moja moja za viatu.
story ya ukubwani lakini tukio la kitotoDahh.....
Hii ilinitokea ukubwani aiseeee....
Tukiwa chuo flani Jijini Dar, tulikua tukilala kwa room yetu na usiku tuliamka kujisomea.
Pembeni ya room yetu alikua jamaa na mpenziwake wapo kwa room moja na room mate wengine.
Kumbe jamaa walikua wakianza kufanya mambo yao, hawa too mate wangu walikua wakienda wanapanga viti then wanaanza kula chabo kwa kubadilishana (kwazam).
Sikuhiyo katika kula chabo, jamaa mmoja alianguka kutoka juu viti walivyo vipanga na ule mshtuko ulifanya kelele ambayo ilipelekea jamaa wote kukimbia na kujificha sehem tofauti na room kwetu.
Jamaa mwenye mpenzi alitoka kwa hasira na kuja moja kwa moja room kwetu na alinikuta pekeangu nikiwa najisomea Dahh......[emoji134], jamaa alini maindi sana na aliamini kwamba mimi ndie nilikua nikimla chabo na nika dondoka na kiti.
Kuanzia skuhiyo jamaa alinichukia sanaaaa..... hapo ilikua mwaka 1999.
Cha ajabu nilikuja kuitwa kwenye usahili wa kazi sehemu mwaka 2008, nilimkuta na yeye akiwa kati ya walio ni sahili. Jamaa alini recommend vizuri na nilipata kazi na Hakuwahi kuniuliza tukio lile
kweli mlikua utotoniSiku moja tulienda mtoni na mpwa wangu ila tunashare age..! Sasa yeye akajifanya fundi wa kuongelea kuruka kwenye maji akabamiza goti kwenye jiwe akawa ananyanyua mkono juu akiomba msaada sisi tunajua ndiyo kamudu we kidogo afie mle sisi tunacheka tu, kumvuta alikuwa kashiba maji hawezi ata kutembe tukafuta mkongojo kufika tu home mother alikuwa mjeshi katuzawadia bokora za kutosha mzee nae kuingia akaambiwa katutoa tena nje usiku kutupa mikanda ya kutosha nikikumbuka mgonjwa anakung'utwa nabakiga hoi...
ungekua mkubwa ungeupandaNilihifadhi uyoga kwenye kabati la nguo, nikasema namuekea baba mpaka akija nimpatie zawadi kwani nilikua nampenda baba yangu mnooo ,na baba alikua anaishi mkoa mwingine na mimi mwingine, ule uyoga uliozea kabatini nililia sana,huwa nikikumbuka nachekaga utoto raha sana
Acha kabisa!kweli mlikua utotoni
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umenifurahisha sana Dada yangu. Eti nimeteleza hahaha huku umevua nguo. Utoto bhana acha tuNakumbuka i was7, alafu wakati huo ndio nimejua kuogelea basi natamani kuogelea kila wakati na vyanzo vya maji viko mbali.
Siku nikaondoka mchana jua kalii kwenda kisimani kuchota maji maana mchana wengi huwa hawaendi coz of jua.
Kufika nikaangalia kushoto na kulia hakuna mtu nikavua nguo nikatumbukia kuogelea.
Aisee nilipitiliza nikanywa maji ya kutosha, nikiwa ktk hali ya kutapatapa akatokea mama(kama bahati tu) akaniokoa na kunitapisha maji yote.
Akaniuliza imekuwaje? Nikamjibu niliteleza, akauliza uliteleza vipi ikiwa nguo umevua ziko pembeni? Nikabaki natoa macho tu, akanipa stik za kutosha, daaah!!
mzee kumbe hii field umeianza kitambo.Nikiwa mdogo niliwahi kuiba hirizi iliyokuwa inapumua ya mzee mmoja mchawi aliyekuwa anaogopeka sana pale kijijini. .kwenda kuipasua nilikuta kinyonga aliyekatwa mkia alitweta kwa kukosa pumzi vizuri
Lile tukio lilikuwa kubwa na baya pale kijijini mpaka ikibidi nihamishwe