Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Hahahaaaaa! Yaani nimecheka hadi nimelia maana sio kwa kufakamia chai huko ikiwa ndani ya "semosi"
Hahahaah yani mito na mashauzi yake yote anayotuleteaga kumbe "semosi" ilishamtenda vibaya. Naona sasa hivi kila nikiona semosi ntakuwa namkumbuka. Nimecheka sana, ngoja aje leo
 
Hahahaah yani mito na mashauzi yake yote anayotuleteaga kumbe "semosi" ilishamtenda vibaya. Naona sasa hivi kila nikiona semosi ntakuwa namkumbuka. Nimecheka sana, ngoja aje leo
Yaani hapa nimeiangalia semosi nikamkumbuka yeye, nshomile mashauzi kaanza alivyofikisha miaka 48
 
Nakumbuka i was7, alafu wakati huo ndio nimejua kuogelea basi natamani kuogelea kila wakati na vyanzo vya maji viko mbali.

Siku nikaondoka mchana jua kalii kwenda kisimani kuchota maji maana mchana wengi huwa hawaendi coz of jua.
Kufika nikaangalia kushoto na kulia hakuna mtu nikavua nguo nikatumbukia kuogelea.
Aisee nilipitiliza nikanywa maji ya kotosha, nikiwa ktk hali ya kutapatapa akatokea mama(kama bahati tu) akaniokoa na kunitapisha maji yote.
Akaniuliza imekuwaje? Nikamjibu niliteleza, akauliza uliteleza vipi ikiwa nguo umevua ziko pembeni? Nikabaki natoa macho tu, akanipa stik za kutosha, daaah!!
Hahahaa umeteleza huku nguo umevua teh teh
Nilimpasua mvulana alikuwa akinita "mchumba" alafu simpendiiii, nikamvizia siku ya siku na jiwe.
Aah kumbe alikuwa ni mkaka. Daah kuna mtu alinipasua na jiwe tulikuwa kanisani wenyewe kwenye mazoezi ya "sikukuu ya Michael na watoto". Tena ilikuwa muda wa tuition ila niligoma kwenda
 
Yaani hapa nimeiangalia semosi nikamkumbuka yeye, nshomike mashauzi kaanza alivyofikisha miaka 48
Yani leo bora asiingie tu humu, sio kwa vichambo nitakavyompa. Sasa hivi anatudiss eti tunatafuta ushirikiano naye kumbe hahahhaha
 
Hahahaa umeteleza huku nguo umevua teh teh

Aah kumbe alikuwa ni mkaka. Daah kuna mtu alinipasua na jiwe tulikuwa kanisani wenyewe kwenye mazoezi ya "sikukuu ya Michael na watoto". Tena ilikuwa muda wa tuition ila niligoma kwenda

Yaani akili za utoto majibu unajiropokea tu bila kufikiria, yaani acha kabisa.

Yeah alikuwa mkaka. Daah pole sn.
 
Nakumbuka nikiwa darasa la 3 pale makambako. Enzi hizo ikikaribia na sikukuu ya pasaka kunakua na mkesha pale kanisani. Watu wanachanga pesa by then ilikua ni sh. 100. Ukilipia pesa hiyo mnaangalia sinema, kula na kunywa. Rafiki zangu walikua wamelipa tayari, mimi pesa sina, kumuomba mdingi nikaona atanitolea nje. Kulikua na sister ana biashara zake ndogo ndogo hivyo nikamwibia 100 nikaenda kulipia.

Kuna kipindi niliokota shanga zile wanavaa akina mama shingoni kama mkufu hivi. Kuna mama mmoja akaniambia nimpe halafu atanipatia pesa, nikakubali. Sasa ile pesa akawa hanipi kila ninapomdai.

Wakati natoka kulipia nipo na rafiki yangu tunarudi home, sasa tupo uwanja wa mpira kwa mbali namuona mdingi anakuja hapo katoka job maana hata uniform alikua hajavua. Kumuona tu nikajua kimenuka. Ikabidi niongeze mwendo tukakutana. Akauliza umetoka wapi nikamwambia misheni hapo kulipia mkesha. Pesa umepata wapi? Hapa hata akili sijui ilikuwaje hadi nikawaza vile. Nikamwambia kanipa mama fulani (nikimtaja yule niliyempatia ile chain). Akasema twende. Kiomoyoni kosa la pili hili, maana nimeiba halafu nikasema uongo ndio vitu ilikua mzee hapendi kabisa.

Tukamkuta yule mama. Mzee akamuuliza umempa pesa huyu? Yule mama akajibu ndio. Duh nikasema mungu mkubwa. Basi tukarudi home. Siku ya kwenda mkesha naogopa kumuomba ruhusa nikapotezea na pesa ikawa imepotea. Na ile pesa ya shanga sikumdai tena yule mama kwa kuniokoa kwenye msala. Nikikumbuka huwa nasema kweli utoto ni noma
 
Siku moja tulienda mtoni na mpwa wangu ila tunashare age..! Sasa yeye akajifanya fundi wa kuongelea kuruka kwenye maji akabamiza goti kwenye jiwe akawa ananyanyua mkono juu akiomba msaada sisi tunajua ndiyo kamudu we kidogo afie mle sisi tunacheka tu, kumvuta alikuwa kashiba maji hawezi ata kutembe tukafuta mkongojo kufika tu home mother alikuwa mjeshi katuzawadia bokora za kutosha mzee nae kuingia akaambiwa katutoa tena nje usiku kutupa mikanda ya kutosha nikikumbuka mgonjwa anakung'utwa nabakiga hoi...
 
Dahh.....
Hii ilinitokea ukubwani aiseeee....
Tukiwa chuo flani Jijini Dar, tulikua tukilala kwa room yetu na usiku tuliamka kujisomea.
Pembeni ya room yetu alikua jamaa na mpenziwake wapo kwa room moja na room mate wengine.
Kumbe jamaa walikua wakianza kufanya mambo yao, hawa too mate wangu walikua wakienda wanapanga viti then wanaanza kula chabo kwa kubadilishana (kwazam).
Sikuhiyo katika kula chabo, jamaa mmoja alianguka kutoka juu viti walivyo vipanga na ule mshtuko ulifanya kelele ambayo ilipelekea jamaa wote kukimbia na kujificha sehem tofauti na room kwetu.
Jamaa mwenye mpenzi alitoka kwa hasira na kuja moja kwa moja room kwetu na alinikuta pekeangu nikiwa najisomea Dahh......[emoji134], jamaa alini maindi sana na aliamini kwamba mimi ndie nilikua nikimla chabo na nika dondoka na kiti.
Kuanzia skuhiyo jamaa alinichukia sanaaaa..... hapo ilikua mwaka 1999.
Cha ajabu nilikuja kuitwa kwenye usahili wa kazi sehemu mwaka 2008, nilimkuta na yeye akiwa kati ya walio ni sahili. Jamaa alini recommend vizuri na nilipata kazi na Hakuwahi kuniuliza tukio lile
story ya ukubwani lakini tukio la kitoto
 
Siku moja tulienda mtoni na mpwa wangu ila tunashare age..! Sasa yeye akajifanya fundi wa kuongelea kuruka kwenye maji akabamiza goti kwenye jiwe akawa ananyanyua mkono juu akiomba msaada sisi tunajua ndiyo kamudu we kidogo afie mle sisi tunacheka tu, kumvuta alikuwa kashiba maji hawezi ata kutembe tukafuta mkongojo kufika tu home mother alikuwa mjeshi katuzawadia bokora za kutosha mzee nae kuingia akaambiwa katutoa tena nje usiku kutupa mikanda ya kutosha nikikumbuka mgonjwa anakung'utwa nabakiga hoi...
kweli mlikua utotoni
 
Nilihifadhi uyoga kwenye kabati la nguo, nikasema namuekea baba mpaka akija nimpatie zawadi kwani nilikua nampenda baba yangu mnooo ,na baba alikua anaishi mkoa mwingine na mimi mwingine, ule uyoga uliozea kabatini nililia sana,huwa nikikumbuka nachekaga utoto raha sana
ungekua mkubwa ungeupanda
 
nakumbuka nilugua celebral malaria ikawa kazi yangu kutangaza mpira tu
 
Nilitumbukia kweny glass
12688197_1210133665682973_158335613037596739_n.jpg
 
Nakumbuka i was7, alafu wakati huo ndio nimejua kuogelea basi natamani kuogelea kila wakati na vyanzo vya maji viko mbali.

Siku nikaondoka mchana jua kalii kwenda kisimani kuchota maji maana mchana wengi huwa hawaendi coz of jua.
Kufika nikaangalia kushoto na kulia hakuna mtu nikavua nguo nikatumbukia kuogelea.
Aisee nilipitiliza nikanywa maji ya kutosha, nikiwa ktk hali ya kutapatapa akatokea mama(kama bahati tu) akaniokoa na kunitapisha maji yote.
Akaniuliza imekuwaje? Nikamjibu niliteleza, akauliza uliteleza vipi ikiwa nguo umevua ziko pembeni? Nikabaki natoa macho tu, akanipa stik za kutosha, daaah!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umenifurahisha sana Dada yangu. Eti nimeteleza hahaha huku umevua nguo. Utoto bhana acha tu
 
Nikiwa mdogo niliwahi kuiba hirizi iliyokuwa inapumua ya mzee mmoja mchawi aliyekuwa anaogopeka sana pale kijijini. .kwenda kuipasua nilikuta kinyonga aliyekatwa mkia alitweta kwa kukosa pumzi vizuri
Lile tukio lilikuwa kubwa na baya pale kijijini mpaka ikibidi nihamishwe
mzee kumbe hii field umeianza kitambo.
 
Nikiwa darasa la tano,nilimtongoza dada jirani yetu alikuwa anajifanya dada yangu akamwambia mama yake.

Jioni mama yake kaja kwa maza akamwambia nimemtongoza dada yangu nilikula bakora na mijeledi wacha kabisa afu badae akaja akakubali nijambanjua nikiwa form two...!
 
Back
Top Bottom