wewe ulistahili na utoto wako unaanza kutongoza hata ya vocha hunaNikiwa darasa la tano,nilimtongoza dada jirani yetu alikuwa anajifanya dada yangu akamwambia mama yake.
Jioni mama yake kaja kwa maza akamwambia nimemtongoza dada yangu nilikula bakora na mijeledi wacha kabisa afu badae akaja akakubali nijambanjua nikiwa form two...!
Hahaha vituko vya utoto sio mchezo. Nikukumbuka kile naishia kuchekadah nami nimecheka walau kwa leo
Yule dada alikuwa mtata sana, alikuwa anavizia niko home mwenyewe anakuja bombani na kichupi na wakat mwingine anakuja uchi akiwa amefunga kanga.wewe ulistahili na utoto wako unaanza kutongoza hata ya vocha huna
Yaani we acha tu, nilivyoteleza nguo zikajivua na kujirusha pembeni.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umenifurahisha sana Dada yangu. Eti nimeteleza hahaha huku umevua nguo. Utoto bhana acha tu
ungekua mkubwa ungeupanda
Katurahisishia maisha kweli, ni mwendo wa chai tu.Wewe ngoja aje kututembelea afu ajifanye anataka juice, ni chai tu hata kama saa 8 mchana teh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . nakumbuka mama alinibamba nanunua ice-cream sehemu nyingine wakati home wanauza. Kumbe nachukua hela za mauzo home naenda kununua kwingine. Aisee alinipiga kipigoYaani we acha tu, nilivyoteleza nguo zikajivua na kujirusha pembeni.
Mara ya kwanza kabisa kwenda town kwa sistaangu (ila siyo huyu atoto wala Heaven Sent , hawa wa juzi juzi tu wananifuata mimi kwa mbali huko) ndo kukukuta chai ktk maisha yangu, tulizoea kunywa uji tu home kijijini. Basi nikawa nimeipenda sana ile chai ya rangi na ule ushamba wangu wa kijijini. Nakumbuka siku hiyo sista yuko huko uani anafua fua, mi nikaingia zangu ndani taratibu hadi kabatini nikatoa chupa ya chai tulikuwa wenyewe tunaita semosi. Nia yangu niibe chai angalau pafu kidogo, basi kufika nikaifungua ile semosi fasta nikafungua mdogo fasta tupia huko chai weeeeeeeeee niliunguaaaaa mbaya mdomoni, nilishuhudia natema vinyama tu kwa jinsi nilivoungua na chai. Sijui kwanini sikuwaza kuwa ni ya moto, yaani sina jibu zaidi ya utoto!!
Hahahaa! Yaani utoto raha sanaa, kuna mambo nikikumbuka nacheka tu mwenyewe.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . nakumbuka mama alinibamba nanunua ice-cream sehemu nyingine wakati home wanauza. Kumbe nachukua hela za mauzo home naenda kununua kwingine. Aisee alinipiga kipigo
ha ha ha yani wewe duhNilitumbukia kweny glass
sitasahau nilivyoingia chooni wakati shangazi anajisaidia kisa tu nilikua najiuliza hivi huwa wanajisaidia kama mimi au wana style yao na je ina ukubwa gani yaani i was curious to know,
nilichapwa mnooo na ni kati ya tukio ambalo huwa silisahau.
Imeshakuwa kubwa au umeshakuwa mkubwa?
ulianza zamani sana huenda sasa hivi ni gwijiYule dada alikuwa mtata sana, alikuwa anavizia niko home mwenyewe anakuja bombani na kichupi na wakat mwingine anakuja uchi akiwa amefunga kanga.
Nikaona huyu anataka maana anajifanya nimtwishwe maji huku anavuta kanga naona utamu nikajiongeza kidume ndiyo akanisaliti kwa kusema aisei.
Duuh...[emoji176] [emoji176] [emoji125]ulianza zamani sana huenda sasa hivi ni gwiji
Duuh kunbe ujasiri ni asili yako, naimagine hapa mchana wa jua kali kukatiza vichaka hadi kisimani peke yako, hata hukuogopa majini ya majini huko peke yako lNakumbuka i was7, alafu wakati huo ndio nimejua kuogelea basi natamani kuogelea kila wakati na vyanzo vya maji viko mbali.
Siku nikaondoka mchana jua kalii kwenda kisimani kuchota maji maana mchana wengi huwa hawaendi coz of jua.
Kufika nikaangalia kushoto na kulia hakuna mtu nikavua nguo nikatumbukia kuogelea.
Aisee nilipitiliza nikanywa maji ya kutosha, nikiwa ktk hali ya kutapatapa akatokea mama(kama bahati tu) akaniokoa na kunitapisha maji yote.
Akaniuliza imekuwaje? Nikamjibu niliteleza, akauliza uliteleza vipi ikiwa nguo umevua ziko pembeni? Nikabaki natoa macho tu, akanipa stik za kutosha, daaah!!
Yaani acha kabisa, semosi ilinifanya mbaya mdomoni, yaani hadi leo hii naiheshimu ile mbaya, chai natest mara mbili mbili kuahikiki kama inanyweka, kila nikionaga semosi nakumbukaga hili tukio hadi leo na uzee huu, imagine mateso ya kutema vinyama 2 weeks mchezo, weee nilikomaHahahaah yani mito na mashauzi yake yote anayotuleteaga kumbe "semosi" ilishamtenda vibaya. Naona sasa hivi kila nikiona semosi ntakuwa namkumbuka. Nimecheka sana, ngoja aje leo