Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umenifurahisha sana Dada yangu. Eti nimeteleza hahaha huku umevua nguo. Utoto bhana acha tu
dah nami nimecheka walau kwa leo
 
Nikiwa darasa la tano,nilimtongoza dada jirani yetu alikuwa anajifanya dada yangu akamwambia mama yake.

Jioni mama yake kaja kwa maza akamwambia nimemtongoza dada yangu nilikula bakora na mijeledi wacha kabisa afu badae akaja akakubali nijambanjua nikiwa form two...!
wewe ulistahili na utoto wako unaanza kutongoza hata ya vocha huna
 
Mi nilivunjaga vyombo vyote kabatini kisha nikaona nikimbilie kwa bibi ili kukwepa fimbo nikaiba shs 600 huko stand wakati naulizia mabus ya kwenda Tanga ndo nikakutana na mama kumbe alienda kumpokea shangazi, yani zile fimbo nilizochapwa siku hiyo hazikuwahi kujirudia mpaka sasa nimekuwa mkubwa
 
wewe ulistahili na utoto wako unaanza kutongoza hata ya vocha huna
Yule dada alikuwa mtata sana, alikuwa anavizia niko home mwenyewe anakuja bombani na kichupi na wakat mwingine anakuja uchi akiwa amefunga kanga.
Nikaona huyu anataka maana anajifanya nimtwishwe maji huku anavuta kanga naona utamu nikajiongeza kidume ndiyo akanisaliti kwa kusema aisei.
 
Yaani we acha tu, nilivyoteleza nguo zikajivua na kujirusha pembeni.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . nakumbuka mama alinibamba nanunua ice-cream sehemu nyingine wakati home wanauza. Kumbe nachukua hela za mauzo home naenda kununua kwingine. Aisee alinipiga kipigo
 
Mara ya kwanza kabisa kwenda town kwa sistaangu (ila siyo huyu atoto wala Heaven Sent , hawa wa juzi juzi tu wananifuata mimi kwa mbali huko) ndo kukukuta chai ktk maisha yangu, tulizoea kunywa uji tu home kijijini. Basi nikawa nimeipenda sana ile chai ya rangi na ule ushamba wangu wa kijijini. Nakumbuka siku hiyo sista yuko huko uani anafua fua, mi nikaingia zangu ndani taratibu hadi kabatini nikatoa chupa ya chai tulikuwa wenyewe tunaita semosi. Nia yangu niibe chai angalau pafu kidogo, basi kufika nikaifungua ile semosi fasta nikafungua mdogo fasta tupia huko chai weeeeeeeeee niliunguaaaaa mbaya mdomoni, nilishuhudia natema vinyama tu kwa jinsi nilivoungua na chai. Sijui kwanini sikuwaza kuwa ni ya moto, yaani sina jibu zaidi ya utoto!!
uploadfromtaptalk1454582241172.jpg
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . nakumbuka mama alinibamba nanunua ice-cream sehemu nyingine wakati home wanauza. Kumbe nachukua hela za mauzo home naenda kununua kwingine. Aisee alinipiga kipigo
Hahahaa! Yaani utoto raha sanaa, kuna mambo nikikumbuka nacheka tu mwenyewe.
 
sitasahau nilivyoingia chooni wakati shangazi anajisaidia kisa tu nilikua najiuliza hivi huwa wanajisaidia kama mimi au wana style yao na je ina ukubwa gani yaani i was curious to know,
nilichapwa mnooo na ni kati ya tukio ambalo huwa silisahau.
 
Hahahaha........ Na wewe ulizidi sasa
 
Yule dada alikuwa mtata sana, alikuwa anavizia niko home mwenyewe anakuja bombani na kichupi na wakat mwingine anakuja uchi akiwa amefunga kanga.
Nikaona huyu anataka maana anajifanya nimtwishwe maji huku anavuta kanga naona utamu nikajiongeza kidume ndiyo akanisaliti kwa kusema aisei.
ulianza zamani sana huenda sasa hivi ni gwiji
 
Kumbe ufisadi umeanza zamani. Karibia wote humu mlikuwa mnaiba utotoni!!!!1
 
Nakumbuka i was7, alafu wakati huo ndio nimejua kuogelea basi natamani kuogelea kila wakati na vyanzo vya maji viko mbali.

Siku nikaondoka mchana jua kalii kwenda kisimani kuchota maji maana mchana wengi huwa hawaendi coz of jua.
Kufika nikaangalia kushoto na kulia hakuna mtu nikavua nguo nikatumbukia kuogelea.
Aisee nilipitiliza nikanywa maji ya kutosha, nikiwa ktk hali ya kutapatapa akatokea mama(kama bahati tu) akaniokoa na kunitapisha maji yote.
Akaniuliza imekuwaje? Nikamjibu niliteleza, akauliza uliteleza vipi ikiwa nguo umevua ziko pembeni? Nikabaki natoa macho tu, akanipa stik za kutosha, daaah!!
Duuh kunbe ujasiri ni asili yako, naimagine hapa mchana wa jua kali kukatiza vichaka hadi kisimani peke yako, hata hukuogopa majini ya majini huko peke yako l
 
Hahahaah yani mito na mashauzi yake yote anayotuleteaga kumbe "semosi" ilishamtenda vibaya. Naona sasa hivi kila nikiona semosi ntakuwa namkumbuka. Nimecheka sana, ngoja aje leo
Yaani acha kabisa, semosi ilinifanya mbaya mdomoni, yaani hadi leo hii naiheshimu ile mbaya, chai natest mara mbili mbili kuahikiki kama inanyweka, kila nikionaga semosi nakumbukaga hili tukio hadi leo na uzee huu, imagine mateso ya kutema vinyama 2 weeks mchezo, weee nilikoma

atoto
 
Back
Top Bottom