Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Nilitoroka madrasa na kuenda kuangusha madafu, kwa bahati mbaya nilijikata wakkati nafua dafu, na nilijikata pakubwa sana kwenye mkono, ikanibidi niende nyumbani na nilipofika kwanza nilichapwa sana halafu ndio nikapelekwa spitali
 
duh, kumbe heri ya mie
 
aise yani utadhani umetunga
 
Nilitoroka madrasa na kuenda kuangusha madafu, kwa bahati mbaya nilijikata wakkati nafua dafu, na nilijikata pakubwa sana kwenye mkono, ikanibidi niende nyumbani na nilipofika kwanza nilichapwa sana halafu ndio nikapelekwa spitali
inaonekana ulikua hujui kupiga fix hongera kama umewekeza hapo
 
Mimi niliwahi kupotea na mdundiko[mganda].....niliufuata bila kujijua kutoka magomeni hadi pugu!!!!!!!
hii ilikua kwa watoto wengi sana ila bahati mbaya enzi za midundiko kupita mitaani hakukua na TV tungekujua leo
 
Nikiwa mdogo niliwahi kuiba hirizi iliyokuwa inapumua ya mzee mmoja mchawi aliyekuwa anaogopeka sana pale kijijini. .kwenda kuipasua nilikuta kinyonga aliyekatwa mkia alitweta kwa kukosa pumzi vizuri
Lile tukio lilikuwa kubwa na baya pale kijijini mpaka ikibidi nihamishwe
 
lazima sasa hivi wewe n mwanasiasa kama sikosei
 
aaaahhhhh umenifanya nigundue kitu kwako
 
unaujasiri sana aisee
 
Nilichukua miba ya mtende huwa ni mikubwa hivi nikaichimbia nikiacha ncha kali kwa juu katika kinjia wanapita watu halafu nikajificha,akapita kaka mmoja akakanyaga nikacheka akaniona nilikimbizwa mpaka leo sikurudia japo hakunipata.
 
hukutafakari kama una kipaji cha kujikausha
 
Nilichukua miba ya mtende huwa ni mikubwa hivi nikaichimbia nikiacha ncha kali kwa juu katika kinjia wanapita watu halafu nikajificha,akapita kaka mmoja akakanyaga nikacheka akaniona nilikimbizwa mpaka leo sikurudia japo hakunipata.
umenifanya nicheke na kuangalia kama kuna anayeniona aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…