Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

mm nakumbuka nilipokuwa darasa na 5 niliagizwa kununua unga kipindi kile cha njaa ya miaka ya 96 nilipofika njiaani kikakuta bibi mmoja anauza paka nikanunua na kuludi nyumbani bila ungaaa duu nilipigwa bakola kama mvuaaa yaaan ctasahau
 
Mimi nakumbuka nikiwa DOGO mbu walikuwa wanasumbua sana sasa kuna siku nikasema ngoja niwakomeshe nikachukua kiberiti na kuanza kuchoma neti ili niwateketeze...Nilichezea kipigo cha haja kutoka kwa dingi !!!!!
Hii ilikuwa miaka 1988 -89 nikiwa darasa 2 mkoani Kil.
Huwa tunatoka mapema(shuleni) kidogo siku hiyo nilitengewa ugali nyama paka akaniwahi akala nyama yote muda niliofika ndio anavutana na mfupa .Nilichofanya nilimfungia nikatafuta kisu nikakinoa vizuri kisha kazi ikanza mimi na paka hiyo vita yake usiombe .Nifanikiwa kumkata kichwa (kutenganisha kiwiliwili na kichwa) Mimi nililazwa kwani alifanikiwa kuniparua vibaya mno .Nakumbuka mama alilia hujui wapi na wapi nmeumia kwani mwili umetapakaa damu ya paka na yangu huku akisema wewe utakuwa mtu wa sambuli gani.
Nilipona nilikuwa mtemi wa rika langu kwani kila mmoja aliujua ukatili wangu. Kama unavyojua maisha ya watu wa Kil.na Arusha huwa wanakuwa na marika na mtemi wa rika fulani


Daaaah... Nimekuogopa!
 
Dingi si aliwahi kunidaka na mikanda ya X pornograph darasa la tano kipindi hicho VHS nikala kichapo cha kolabo mama baba na broo na mikanda yote ikavunjwa vunjwa

Balaa sasa yule jamaa niliyemuomba mikanda alinidai karibu mwaka mzima na kila akinidaka nlikua nakula makonzi tu sina pakushtaki
ha ha ha i see
 
Dingi si aliwahi kunidaka na mikanda ya X pornograph darasa la tano kipindi hicho VHS nikala kichapo cha kolabo mama baba na broo na mikanda yote ikavunjwa vunjwa

Balaa sasa yule jamaa niliyemuomba mikanda alinidai karibu mwaka mzima na kila akinidaka nlikua nakula makonzi tu sina pakushtaki
ha ha ha i see
 
Tukiwa darsa la 3 na mdogo wangu.

Tulikuwa tunafuaga nguo za shule jpili usiku ili zikauke usiku tuvae asubuhi....

One day, tumecheza mpira mchana kutwa , usiku Wa jpili kabla ya kufua tukaona tule kwanza ugali ....then tukaona tuloweke nguo kwanza ( ni usiku Wa saa 3) , then tukavuta beseni la nguo pale chumbani na kijilaza kitandani kwa mgongo.

Tulishtuka alfajiri saa 11 kuamkia jtatu na bado nguo zimelowekwa kwenye beseni.....

TULICHOKIFANYA; Tukaenda kuzianika hivyo hivyo bila kuzifua...

Saa 12 mshua akaamka kakuta nguo mbichi.....

Tulikula bakora na tukaenda shule nguo zikiwa zinachuruzika maji....nakumbuka nguo zilikaukia mwilini mida ya saa 6 mchana tukiwa shuleni
 
Mi nakumbuka mi na kaka yangu tulikuwa na tabia ya kila baada ya kutoka kukamua ng'ombe zizini kila mmoja alikuwa anaficha maziwa yake kwenye vichupa vidogo kwa ajili ya kugandisha yakishaganda mtu unaenda nayo shule.
Sasa siku moja nkaamua kwenda chimbo kucheki status ya maziwa yetu nkawa nimepiga pafu maziwa ya broo, ile namungunya nikahisi kitu kigumu kutema chini kumbe ni bonge la mende. Dah toka siku ile nilikoma wizi
 
Mi nakumbuka kuna demu alimzingua jamaa mmoja kitaa..Basi yule jamaa kwa asira akamwambia "ujue ntakubikiri"..Basi mi nikalipenda hilo neno bila hata kujua maana yake..Nikihisi kuwa litakuwa linamaanisha ntakupiga....Siku tumekaa sitting room na wazee pamoja na wagen tunacheki Tv tukaanza kugombania rimoti na sista..yeye akiwa anataka kubadili chanel..Ndo kumwambia "ujue ntakubikiri,we endelea tu"...

Nilipelekwa chemba nikapewa stiki za kutoha..Zen baadae darsa ndo likafwata..Ndo ikawa chanzo cha kupunguza kuokotaokota maneno kitaa
Nimekaa nimetuliaaa natafakari cha kuchangia. Wazo likanijia nikuulize jambo.

Hivi sasa ninaimani Dada yako kishabikiriwa. Sasa anakuchukuliaje baada ya kuelewa maana ya neno kubikiri na kauli yako uloitoa udogoni?
 
watoto wa uswahilini kula hadi ujipange mstari lazima huwe na vituko tu.mahana ndio ilikuwa njia ya kutafuta chakula watoto wa uswahilini na vituko.mimi nilizaliwa katika maisha ya geti kali full kiyoyozi home freji imejaa matunda na juice maj.Mungu endelea kusaidia family yangu.

swissme
 
Nimekaa nimetuliaaa natafakari cha kuchangia. Wazo likanijia nikuulize jambo.

Hivi sasa ninaimani Dada yako kishabikiriwa. Sasa anakuchukuliaje baada ya kuelewa maana ya neno kubikiri na kauli yako uloitoa udogoni?

Hatujawahi kuliongelea hilo..Na sidhani kama linamsumbua kwa sababu wanajua niliongea bila kujua maana
 
niliwahi kuambiwa eti ukitaja jina la nyerere nitakamatwa na polisi .......nikawa kila nikisikia mtu anataja nakimbia
 
Ilikuwa darasa la nne,tulipagwa wote darasa zima mikondo upya tulikuwa almost watu 300+,mimi nilienda mkondo c na watu niliopangwa nao wengi wao zilikuwa sura mpya,mwalimu wa darasa alikuja akatupanga nae kwenye madawati upya,dawati letu tulikuwa me 2 na ke 1,so yule ke alikuwa anakaa katikati so mm nilitoke kutompenda so nikawa nakaa pembeni kabisa na dawati(tako moja),yule ke alikuwa ni mtu wa kelele matusi mimi na yeye hatukuendana ila baadae tulizoeana sana akawa ndio toka nitoke(best friend).sana huyu mdada tuliyekuwa tunakaa nae siti moja alikuwa na rafiki yake wa kike alikuwa anakuja kumtembelea muda wa mapumziko,siku ya siku yule rafiki yake kaja kama kawaida yake nikamwambia nimefall in lov kiutani,duh ilikuwa shida ilinibidi nitoreke shule maanaa niliona kama anaweza kunisema kwa mwl bse ndio aliyekuwa anakuwa wa kwanza,yani alikuwa anabuluza watu 300+ kiufupi huyu.mdada alikuwa gineous,na mm wakati huo nilikuwa na miaka 9+,so kufika hme nikajiuguza hadi siku tatu bila kwenda shule ili nikute soo limeisha,siku nimeenda shule kwa kujishitukia ile imefika daradani nikahisi kila mtu anajua kilichotokea na labda natafutwa,kumbe hata hakusema nikajua basi alikubali,nikaanza kumpa pesa yule dem ambaye tunakaa nae dawati moja ampelekee yule mchuchu,so nikipewa pesa hme ya kula shule na mm napeleka kwa wanojua kutumia,saa nne nakaa na njaa bila kula chochote alafu namuona dem anakula na rafiki zake,nilimpenda yule mdada bt sikujua feeling zinatoka wapi katika umri ule,yani siku hme wasiponipa hela naiba,yani ikawa bila hela siendi shule,pesa ya kula shule ikawa naenda kuhonga,.Mungu si athumani mwaka huo huo wakatugawanya shule tatu mimi nikaenda shule nyingine na yeye shule nyingine..miaka imeenda darasa la sita nikapata habari anasoma tuition iliyo karibu na niliyokuwa anasoma na mm nikahamia huko nakuta mtt kashatoka chuchu kawa mzuri hatari......nikifikilia najiona nilikuwa mjinga ila kuhonga sijaacha.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hiyo avatar yako kama ume copy na ku paste toka kwangu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mimi nakumbuka nikiwa la 4, nilikua nafunga leso kama hela hivi maana zamani walikua wanafungia hela afu natupa barabarani dah siki moja niligombanisha watu wa 2 nilicheka mpaka nikalala chini
 
Nakumbuka kucheza kibaba babaa na kimama mamaa aise niliwalamba alfu kila siku tukicheza wanang'ang'ania niwe baba...
 
1. UMEME HAUNA KIUNo LAKINI UNAKATIKA.
2. UJINGA NI KUMWANDIKIA M2 ''I LOVE U'' NA KUSUBIRIA JIBU,WAKATI SIYO SWALI.
3. BUSHA HUWEZI KULIVALIA MODO.
4. LINALOJAMBA NI TUMBO,MK*ND* KIPANZA SAUTI TU.
5. HATA UWE BIGWA W FASHENI VP, HUWEZI KUNYOA KIDUKU KWAPANI.
 
1. UMEME HAUNA KIUNo LAKINI UNAKATIKA.
2. UJINGA NI KUMWANDIKIA M2 ''I LOVE U'' NA KUSUBIRIA JIBU,WAKATI SIYO SWALI.
3. BUSHA HUWEZI KULIVALIA MODO.
4. LINALOJAMBA NI TUMBO,MK*ND* KIPANZA SAUTI TU.
5. HATA UWE BIGWA W FASHENI VP, HUWEZI KUNYOA KIDUKU KWAPANI.
upo nje ya mada hapa
 
Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia

kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho nikajikuta katikati ya barabara ila bahati hakukua na magari yanayokua au kwenda

hili tukioa limekua likinirudia sana kichwani kwangu

Je, wewe unakumbuka kituko gani cha hatari au kukufurahisha ambacho hutokisahau maishani
Kucheza kombolela
 
Nakumbuka nilipiga jiwe taa iliyo kuwa inawaka nje ya mashineni alafu nikakimbia nikijua nyuma nafukuzwa kumbe mawenge yangu tu daah uwaga sisahau kituko hiki nkikumbuka nacheka mwenyewe
 
Back
Top Bottom