Ilikuwa darasa la nne,tulipagwa wote darasa zima mikondo upya tulikuwa almost watu 300+,mimi nilienda mkondo c na watu niliopangwa nao wengi wao zilikuwa sura mpya,mwalimu wa darasa alikuja akatupanga nae kwenye madawati upya,dawati letu tulikuwa me 2 na ke 1,so yule ke alikuwa anakaa katikati so mm nilitoke kutompenda so nikawa nakaa pembeni kabisa na dawati(tako moja),yule ke alikuwa ni mtu wa kelele matusi mimi na yeye hatukuendana ila baadae tulizoeana sana akawa ndio toka nitoke(best friend).sana huyu mdada tuliyekuwa tunakaa nae siti moja alikuwa na rafiki yake wa kike alikuwa anakuja kumtembelea muda wa mapumziko,siku ya siku yule rafiki yake kaja kama kawaida yake nikamwambia nimefall in lov kiutani,duh ilikuwa shida ilinibidi nitoreke shule maanaa niliona kama anaweza kunisema kwa mwl bse ndio aliyekuwa anakuwa wa kwanza,yani alikuwa anabuluza watu 300+ kiufupi huyu.mdada alikuwa gineous,na mm wakati huo nilikuwa na miaka 9+,so kufika hme nikajiuguza hadi siku tatu bila kwenda shule ili nikute soo limeisha,siku nimeenda shule kwa kujishitukia ile imefika daradani nikahisi kila mtu anajua kilichotokea na labda natafutwa,kumbe hata hakusema nikajua basi alikubali,nikaanza kumpa pesa yule dem ambaye tunakaa nae dawati moja ampelekee yule mchuchu,so nikipewa pesa hme ya kula shule na mm napeleka kwa wanojua kutumia,saa nne nakaa na njaa bila kula chochote alafu namuona dem anakula na rafiki zake,nilimpenda yule mdada bt sikujua feeling zinatoka wapi katika umri ule,yani siku hme wasiponipa hela naiba,yani ikawa bila hela siendi shule,pesa ya kula shule ikawa naenda kuhonga,.Mungu si athumani mwaka huo huo wakatugawanya shule tatu mimi nikaenda shule nyingine na yeye shule nyingine..miaka imeenda darasa la sita nikapata habari anasoma tuition iliyo karibu na niliyokuwa anasoma na mm nikahamia huko nakuta mtt kashatoka chuchu kawa mzuri hatari......nikifikilia najiona nilikuwa mjinga ila kuhonga sijaacha.