Mpondoshilla
Member
- Jul 4, 2022
- 36
- 132
Hao wazazi bure kabisaMimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyiji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyanganya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha kwako hapa,
Daah[emoji23][emoji23][emoji23]".... ondoka tule...." huku akinisukuma.
Kwani hujui watu wazima hawajambi 🤣Sasa mkuu ulipojamba Ulitaka dogo asiseme?😄😄😄😄
😄😄😄 Nilikua nimejisahaulisha mkuu.Kwani hujui watu wazima hawajambi 🤣
🤣 you ask grampa and grandma everyone knows it🤣
mkuu umenikumbusha zamani tulikuwa tukisikia ndugu zetu wamekuja tunaemda kuwasalimia huko walikofikia(ndugu zetu wanatoka huko mikoani)basi bwana siku moja tumeenda kuwasalimia kaka yangu akawa amesimama wima anazungukia wageni kuwasalimia sie wengine unabend kidogo,basi baada ya hapo maza akapata taarifa wee kaka yangu kidogo apokee kichapo cha hajaNilienda kwa kaka yangu wa tumbo moja.
Nipo sebuleni naangalia TV, mtoto wa bro alitoka shule. Alipofika hata hakunisalimia.
Kakasimama katika ya TV, nikamwambia toka hapo, bado tu. Nikamwambia tena. Kakazima TV kakaingia chumbani.
Nikawasha, nikasubiri kanatoka chumban. Nikakashika, nikakapa kifinyo.
Usiku bro anakuja, kanamwambia. Nimempiga. Bro akasema, huyu akileta ujinga piga.
Wazazi wa sasa, jitahidini kuwalewa watoto wenu katika tabia njema ndiyo maana hata ndoa za siku hizi zinavunjika kwa sababu ya malezi.
Namshukuru sana mama yangu, ametulea katika maadili mema. Sisi nyumbani ukimkuta mgeni lazima umsalimie halafu unaenda kucheza nje. Mgeni aletewe hata soda halafu nawe unataka unywe naye kipigo utakachopata.
Mtoto mkubwa wa sister ni mkubwa tuu 18 years now kamaliza form 4. kaja home. kufika kakuta wamepika makange akasema yeye hali makange. nkampa hela akaenda nunua chips. asubuh chai tukanunua mihogo kasema halagi mihogo anataka chapati za maji, akapewa. inshu ikaja kwenye kusaidia kazi. hakuna kazi anayoweza labda vyombo tuu kuosha na sio masufuria. kitu pekee anaweza pika ni chai. hata ugali wa mtu mmoja hawezi pika. nkamuuliza vizuri akasema yeye hata kwao wakipika ugali yeye hataki basi anapewa hela anaenda kula mgahawani.
nguo zake anafuliwa. na sio kwamba kwao ni matajiri hapana kipato chao ni cha chini sana.
sasa alipolala walimnyang'anya au waliichukua!?Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyiji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyanganya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha kwako hapa,
Na mna ishi nae aseeeMtoto mkubwa wa sister ni mkubwa tuu 18 years now kamaliza form 4. kaja home. kufika kakuta wamepika makange akasema yeye hali makange. nkampa hela akaenda nunua chips. asubuh chai tukanunua mihogo kasema halagi mihogo anataka chapati za maji, akapewa. inshu ikaja kwenye kusaidia kazi. hakuna kazi anayoweza labda vyombo tuu kuosha na sio masufuria. kitu pekee anaweza pika ni chai. hata ugali wa mtu mmoja hawezi pika. nkamuuliza vizuri akasema yeye hata kwao wakipika ugali yeye hataki basi anapewa hela anaenda kula mgahawani.
nguo zake anafuliwa. na sio kwamba kwao ni matajiri hapana kipato chao ni cha chini sana.