Kituko gani kilikuacha hoi kwa kicheko mnamo 6*6?

Aah wapi huyu ni swahiba wangu anaitwa Asprin
[emoji43][emoji43][emoji43] Asprin ndo yuko ivo??? Usinifnye nikanyage 180 kuelekea PM yake!!! [emoji7][emoji7]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]majirani nao wambea sana, watu wako wawili ndani tena jinsia tofauti wanakuja kuuliza eti kwema!

Ningekuwa mimi ningemwambia siyo kwema njoo utuokoe
 
[emoji3][emoji3][emoji3]majirani nao wambea sana, watu wako wawili ndani tena jinsia tofauti wanakuja kuuliza eti kwema!

Ningekuwa mimi ningemwambia siyo kwema njoo utuokoe
Hahaha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Walisikia kishindo na kelele za vyombo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…