Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe ebu niache mimi mtawa huko sijawahi fika.Ebu sema na kituko chako sio kucheka vya wengine
Nasubiri cha kwakoEbu sema na kituko chako sio kucheka vya wengine
[emoji23] [emoji23] [emoji119] haya baba mchungajiHehe ebu niache mimi mtawa huko sijawahi fika.
Hehe kwani mama mchungaji wewe una kituko?[emoji23] [emoji23] [emoji119] haya baba mchungaji
[emoji3][emoji3][emoji3]majirani nao wambea sana, watu wako wawili ndani tena jinsia tofauti wanakuja kuuliza eti kwema!Habari za Jumapili familia pendwa!!!
Kwa ndugu zangu waislamu nawatakia mfungo mwema!
Nina uhakika kwa namna moja au nyingine kuna wenzetu wamewahi kukutana na matukio ya kuchekesha wakiwa katika ile shughuli pendwa. Tukio linaweza likawa halikuchekesha wakati ule ila kwa sasa ukikumbuka tu lazima ucheke.
Yaani ex wangu alikua ni mtu wa vurugu sana kwenye mechi... Atakubidua kila aina ya staili yaani ukitoka hapo mwili unauma kama ulikua unalima... Kuna siku katika purukushani bwana kumbe tumebiringita mpka kumaliza kitanda, tukatua chini kama zigo "ndiii'... Tukaangukia kwenye vyombo vilikua kwenye tray pembeni ya kitanda, vyombo vikavunjika... Ile maumivu hayajaingia vizuri tukasikia hodi mlangoni majirani wanatuuliza " kwema humo?"... Yaani tuliganda kama tulivyodondoka na kuuchuna kama hamna mtu ndani huku mimi nakufa kwa kujizuia kicheko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapn mama mchungaji atakuaje na kitukoHehe kwani mama mchungaji wewe una kituko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angezima sijui ungefanyaje atiii!?
Hujui hawa mama wachungaji ndo wanaongoza kwa vituko!Hapn mama mchungaji atakuaje na kituko
Ndiyo yeye huyo[emoji43][emoji43][emoji43] Asprin ndo yuko ivo??? Usinifnye nikanyage 180 kuelekea PM yake!!! [emoji7][emoji7]
Hahaha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]majirani nao wambea sana, watu wako wawili ndani tena jinsia tofauti wanakuja kuuliza eti kwema!
Ningekuwa mimi ningemwambia siyo kwema njoo utuokoe