Kituko gani kilikuacha hoi kwa kicheko mnamo 6*6?

Kituko gani kilikuacha hoi kwa kicheko mnamo 6*6?

Aah wapi huyu ni swahiba wangu anaitwa Asprin
[emoji43][emoji43][emoji43] Asprin ndo yuko ivo??? Usinifnye nikanyage 180 kuelekea PM yake!!! [emoji7][emoji7]
 
Habari za Jumapili familia pendwa!!!
Kwa ndugu zangu waislamu nawatakia mfungo mwema!

Nina uhakika kwa namna moja au nyingine kuna wenzetu wamewahi kukutana na matukio ya kuchekesha wakiwa katika ile shughuli pendwa. Tukio linaweza likawa halikuchekesha wakati ule ila kwa sasa ukikumbuka tu lazima ucheke.

Yaani ex wangu alikua ni mtu wa vurugu sana kwenye mechi... Atakubidua kila aina ya staili yaani ukitoka hapo mwili unauma kama ulikua unalima... Kuna siku katika purukushani bwana kumbe tumebiringita mpka kumaliza kitanda, tukatua chini kama zigo "ndiii'... Tukaangukia kwenye vyombo vilikua kwenye tray pembeni ya kitanda, vyombo vikavunjika... Ile maumivu hayajaingia vizuri tukasikia hodi mlangoni majirani wanatuuliza " kwema humo?"... Yaani tuliganda kama tulivyodondoka na kuuchuna kama hamna mtu ndani huku mimi nakufa kwa kujizuia kicheko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]majirani nao wambea sana, watu wako wawili ndani tena jinsia tofauti wanakuja kuuliza eti kwema!

Ningekuwa mimi ningemwambia siyo kwema njoo utuokoe
 
[emoji3][emoji3][emoji3]majirani nao wambea sana, watu wako wawili ndani tena jinsia tofauti wanakuja kuuliza eti kwema!

Ningekuwa mimi ningemwambia siyo kwema njoo utuokoe
Hahaha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Walisikia kishindo na kelele za vyombo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom