Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.

Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.

Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola. Kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.

Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa.

2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7 tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.

3. Timu yake haijafika hata kucheza play off ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.

Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
Screenshot_2024_0705_150113.png

Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.

Hana timu kwa sasa. Tim

Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica

Timu yake inaitwa Maritzburg United
Screenshot_2024_0705_150345.png

Screenshot_2024_0705_142639.png
 
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.

Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
wewe sie wabongo roho mbaya tuu hatutaki makocha wetu wakuwe kwenye taaluma yao
 
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kq.
Inakuhusu nini wewe bwenga kwani umeombwa kuchangia hata senti kugharamia ujio wao? Umekomaa na nyuzi zako kila dakika kuponda kila linalofanywa na Simba, tumekuchoka na ushamba wako. Kama vipi anzisha timu yako usajili kama unavyotaka wewe.
 
Ungemjibu kwa hoja na sio kwa kupanic na matusi, hadi hapo wewe ndio unaonekana mjinga
 
Vincent Company, aliishusha daraja timu yake EPL. Lakini kaajiriwa na Bayern Munich, wabongo acheni ujuaji hapo akifanya wonders sijui mtasemaje. Kocha aliefundisha Getafe alitufikisha wapi?
Yanga Bingwa 2024/25 nyinyi sajiri zenu mshaangukia Pua, Chama yuleeeeee anaungana na Pacome Aziz Ki
 
Back
Top Bottom