William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
- #101
Nashauri matola atoke benchi la ufundi Atabeba lawama zote za Mo na Fadlu David.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kutoona maana hiyo ni juu Yako.Sioni simba ikichomoka mechi inayofata
Mkuu pale Simba shida sio kocha peke yake bali na wachezaji ni jipu jingine, kocha anaweza kuwa anashindwa kuitengeneza timu yake kutokana na aina ya wachezaji alionao!Sioni simba ikichomoka mechi inayofata
Huyo angeenda kuimba na dadake Saida Karoli hukum kwenye mpira hajui kituEndelea kutoona maana hiyo ni juu Yako.
Watu wanachimba data.Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola. Kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa.
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7 tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika hata kucheza play off ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.
Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.
Hana timu kwa sasa. Tim
Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica
Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285
Tumeanza kukuelewa mkuu, fadlu hamna kocha paleKaribu mtaanza nielewa. Fadlu sio kocha