Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

Inakuhusu nini wewe bwenga kwani umeombwa kuchangia hata senti kugharamia ujio wao? Umekomaa na nyuzi zako kila dakika kuponda kila linalofanywa na Simba, tumekuchoka na ushamba wako. Kama vipi anzisha timu yako usajili kama unavyotaka wewe.
Mwaka huu ndio najaribu kufumbua watu macho. Tusiongozwe na wachambuzi wanaonunuliwa. Njoo na cv za huyu kocha vichekesho mtupu
 
Na Mimi nilitaka nimwambie hii kitu
Usifananishe Company na hiki kituko. Hafiki ata kwa mexime.
Miaka 7 bila mafanikio kama kocha. Huyu sio kijana ana 44 years.
Kashindwa ukocha miaka 7 akawa assistant hahaa
 
Hebu diskasini li timu lenu kila muda Simba Simba...ila endeleeni maana na nyie ni mafolowazi wetu..
Sasa mbona mtoa mada ni shabiki mwenzenu wa simba!! Na ametoa maoni yake kwa kadiri alivyo ona inafaa! Mlitakiwa kumjibu kwa ustaarabu tu na kwa hoja. Na siyo kwa kumshambulia kwa matusi na maneno mengine makali.

Mwasibu amejaribu kwa kuweka taarifa ya kuonesha huyo kocha ametokea Raja Casablanca, na siyo Afrika ya Kusini. Ingawa na yeye pia mwisho wa siku ameishia tu kuchafukwa kama ilivyo kawaida yenu!!

Muhimu tu ligi ikianza kuchanganya, tusisikie tena zile kelele za kumkataa Mwenyekiti, au baadhi ya wachezaji wenu mnao watukuza wakati huu wa usajili.
 
AHahhahah Tate nanee....
 
Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.

Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola.
kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.

Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.

Hana timu kwa sasa. Tim

Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica

Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285
Tuache maneno, mambo haya aliambiwa hata Nabi wakati anafika Yanga kuwa hajui kitu. Mbinu ni zile zile huenda akapata wasaa mzuri Simba.
 
Tulimuelewa vyema Benchika na akashindwa ngoja aje huyo msiemuelewa ili siku moja awafundishe kumuelewa...
Shida sio kumuelewa tu. Mtu hawezi kutoka kuwa kocha kwa miaka 7 baadae akawa assistant coach hahaha. Uongo dhambi Simba tunachezewa sana shele
 
Tuache maneno, mambo haya aliambiwa hata Nabi wakati anafika Yanga kuwa hajui kitu. Mbinu ni zile zile huenda akapata wasaa mzuri Simba.
Usifananishe nabi na huu uchafu. Huyu sio kocha labda anafanya kitu. Bora Maxime tu. Au mkwasa, kawa kocha miaka saba bila mafanikio yoyote.
akatemwa mazima akawa assistant tena kwa timu ya kumi na Africa kwa kiwango. Sasa Simba anakuja kufanya nini.
 
Tuache maneno, mambo haya aliambiwa hata Nabi wakati anafika Yanga kuwa hajui kitu. Mbinu ni zile zile huenda akapata wasaa mzuri Simba.
Usifananishe nabi na huu uchafu. Huyu sio kocha labda anafanya kitu. Bora Maxime tu. Au mkwasa, kawa kocha miaka saba bila mafanikio yoyote.
akatemwa mazima akawa assistant tena kwa timu ya kumi na Africa kwa kiwango. Sasa Simba anakuja kufanya nini.
 
Sasa mbona mtoa mada ni shabiki mwenzenu wa simba!! Na ametoa maoni yake kwa kadiri alivyo ona inafaa! Mlitakiwa kumjibu kwa ustaarabu tu na kwa hoja. Na siyo kwa kumshambulia kwa matusi na maneno mengine makali.

Mwasibu amejaribu kwa kuweka taarifa ya kuonesha huyo kocha ametokea Raja Casablanca, na siyo Afrika ya Kusini. Ingawa na yeye pia mwisho wa siku ameishia tu kuchafukwa kama ilivyo kawaida yenu!!

Muhimu tu ligi ikianza kuchanganya, tusisikie tena zile kelele za kumkataa Mwenyekiti, au baadhi ya wachezaji wenu mnao watukuza wakati huu wa usajili.
Kwani team yako? Hizo kelele za kumkataa mwenyekiti wetu wee inakuhusu nn? Km hutaki kusikia si uepuke nazo? Kutwaa kuranda kujua yasiyokuhusu lazima ukerekwee.

Em tulizana hapo Avic kibonde maji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom