Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kwahyo umeamua kukopy na kuedit...Mkuu alikuwa anasema tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo umeamua kukopy na kuedit...Mkuu alikuwa anasema tu.
Na Mimi nilitaka nimwambie hii kituVicent company to Bayern Munich
😃😃😃😃😃Ungekua ushaolewa na MIMI na ungevaa kijani na njano
Hoja hujibiwa kwa hoja, upumbavu hujibiwa kwa upumbavuUngemjibu kwa hoja na sio kwa kupanic na matusi, hadi hapo wewe ndio unaonekana mjinga
Nikuoe tena😃😃😃😃😃
Kwani mi nmesema Yanga sio bingwa bro? WTFYanga Bingwa 2024/25 nyinyi sajiri zenu mshaangukia Pua, Chama yuleeeeee anaungana na Pacome Aziz Ki
Hebu tulia kwanza utachafua uzi..Nikuoe tena
Mkuu si imependeza lakini......Kwahyo umeamua kukopy na kuedit...
Sio mbaya...Mkuu si imependeza lakini......
Kumbe ushakubari kiainaKwani mi nmesema Yanga sio bingwa bro? WTF
nyie msimu ujao mtamalia nafasi ya sita. singida black starts anakuja kukaa hapo nafasi ya tatuHebu diskasini li timu lenu kila muda Simba Simba...ila endeleeni maana na nyie ni mafolowazi wetu..
Shidwaaa sheitwainn...😄😄😄nyie msimu ujao mtamalia nafasi ya sita. singida black starts anakuja kukaa hapo nafasi ya tatu
Sawa nimetulia sasa si unipe Ile kitu inamesa mwensie?Hebu tulia kwanza utachafua uzi..
Hapo ndo unaharibu kabisa rafiki..acha hizi mambo..Sawa nimetulia sasa si unipe Ile kitu inamesa mwensie?
hahaha alipotea kweli na atapotea tena come may 2025Kalpana alipotea JF tangu Yanga achukue ubingwa
Sawa basiHapo ndo unaharibu kabisa rafiki..acha hizi mambo..
Hukuonekana kabisa JFNilisafiri si niliwaambia? Yani sikupotea kile kipindi cha Tano kwa moya ndo nipotee ubingwa...
Siyo mbaya, atajifunza tu. Simba imempa nafasi ya kujifunza ili akue, ni namna ya kukuza vipaji.Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola.
kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.
Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.
Hana timu kwa sasa. Tim
Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica
Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285