Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.

Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola.
kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.

Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.

Hana timu kwa sasa. Tim

Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica

Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285
Siyo mbaya, atajifunza tu. Simba imempa nafasi ya kujifunza ili akue, ni namna ya kukuza vipaji.
 
Back
Top Bottom