Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Acha porojo za kipumbavu wewe, waziri haandiki dawa na si lazima awe Daktari. Mbona madaktari wanapoteuliwa kuwa wabunge na wakuu wa mikoa na hata mawaziri katika wizara zisizohusiana na udaktari hamlalamiki? Kumbe kusoma si kumaliza ujinga eeh?

Siwezi kukulaumu sana,may be naweza kuwalaumu wazazi wako waliokupeleka shule ya kata,ndio maana mapovu mengiiii hapo ndio nilipotaka kwamba Waziri mwenye taaluma ya kilimo anakuwa waziri wa Sheria hahaha Lol si ndio maana tunapata viongozi DHAIFU sasa mtu kama huyu hata hafahamu nini sheria inasemaje anafaa kweli si ndio wale wote wanaosema ahhhh hakuna haja ya katiba mpya(Selina Kombani)Sasa ona madawa feki kibao na waziri wa mifugo hana utaalamu wa ushauri kuhusu madawa ya binadamu anasubiria tu kudanganywa then yuko Liwalo naliwe bora mie situmii hizo dawa watatumia kina KUKOMYA
 
Mimi si Daktari, lakini sivumilii udhalilishwaji wa ma AMO namna hii. Wapo ma AMO wenye uwezo mara kumi ya hao wanaojiita ma MDs. Na ndiyo wanaowafundisha wanapotoka vyuo vikuu.

Acheni wivu wa kike! Ninavyofahamu nafasi za DMO na RMO zimekaa kisiasa zaidi na si kitaalamu. Kama sheria na taratibu zilizowekwa ni za kuhakikisha ni ma MDs tu ndiyo wanakuwa ma RMO basi sishangai kwa nini huduma zinaendelea kuzorota hadi watu wanapelekwa India kutibiwa mafua, kwa maana "madaktari" wetu wako bize kusaka vyeo vya kuendesha vikao na si kufanya tafiti na mazoezi.
Hawa MD kujitenga tenga kwao nakujiona so special ndicho kilicho wafanya mpaka wasifanikiwe kwenye mgomo wao baada ya kuwatenga wenzao AMO hawana fikra angavu na ubunifu kulalama kila kukicha tu.
 
MD Degree courses

Anatomy
Biochemistry
Medical Ethics I
Basic Physiology
Behavioral Sciences
Development Studies
Microbiology & Immunology
Parasitology & Medical Entomology
Clinical Physiology
Development Studies
Introduction to Clinical Medicine
MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES
36 MUHAS Prospectus 2011-2013
Pathology
Epidemiology & Research Methodology
Nutrition
Introduction to Clinical Medicine
Forensic Pathology
Clinical Pharmacology
Management of Diseases
Medical Ethics II
Medical Ethics III
Management of Disease s II
Community Medicine
Paediatrics and Child Health
Obstetrics Gynaecology
Elective Period
Surgery
Internal Medicine
Surgical Specialties
Orthopaedics and Traumatology
Psychiatry



COURSE ORGANIZATION FOR AMO'S TRAINING

BLOCK I 1st ACADEMIC YEAR


Introduction to clinical medicine
Internal Medicine
Surgery
Pediatrics and Child Health
Obstetrics/Gynecology

BLOCK 11 2nd ACADEMIC YEAR

Community Medicine
Surgery
Internal Medicine
Pediatrics and Child Health

Obstetrics /Gynecology

teh teh teh...halafu kweli nimekumbuka jinsi anatomy na pathology zilivyo kigongo jamani kwa course ya MD! Lakini hata wizara wanajua uwezo wa huyu mpendwa kuwa ni wa ki voda voda ndiyo maana siku zote huwa wanampa wilaya au mikoa isiyo na hospitali! huyu hata clinical meeting hazijui eti maana huko ndiko watu wanakoonyesha walichokisoma kwa kukielezea na kukifanyia kazi na kuleta matokeo.... teh teh
 
teh teh teh...halafu kweli nimekumbuka jinsi anatomy na pathology zilivyo kigongo jamani kwa course ya MD! Lakini hata wizara wanajua uwezo wa huyu mpendwa kuwa ni wa ki voda voda ndiyo maana siku zote huwa wanampa wilaya au mikoa isiyo na hospitali! huyu hata clinical meeting hazijui eti maana huko ndiko watu wanakoonyesha walichokisoma kwa kukielezea na kukifanyia kazi na kuleta matokeo.... teh teh
:majani7:
 
Naomba ieleweke, no shortcut in medicine. Ili uwe daktari kamili MD/DDS, unatakiwa kupitia Five years intensively medical school. Ni hivi hata usome Diploma in Clinical medicine(Clinical officer), Advanced diploma in clinical Medicine (AMO), sasa ukitaka kuwa na degree ya udaktari unatakiwa uanze First year mpaka Fifth year, PLUS one year internship(huo utakuwa mwaka wa 6).Jamani taaluma ya udaktari haina equivalent; mkubali msikubali huo ndiyo ukweli wenyewe. Miongozo ipo wazi kabisa hapo hakuna cha wivu, sema mtoa maada ameandika kwa jazba na hisia kali tu.

umejitahidi kutunisha msuli ila kwa usahihi taaluma ya udaktari haina equivalence siyo equivalent nadhani ngwini imekupiga chenga hapa.
 
Mganga Mkuu wa Mkoa is a political post not a professional post. It is a shame kumpa MD hiyo nafasi badala ya kutibu watu hospital akae anazunguuka kufungua warsha na semina za ukimwi
 
Back
Top Bottom