Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Acha porojo za kipumbavu wewe, waziri haandiki dawa na si lazima awe Daktari. Mbona madaktari wanapoteuliwa kuwa wabunge na wakuu wa mikoa na hata mawaziri katika wizara zisizohusiana na udaktari hamlalamiki? Kumbe kusoma si kumaliza ujinga eeh?

Siwezi kukulaumu sana,may be naweza kuwalaumu wazazi wako waliokupeleka shule ya kata,ndio maana mapovu mengiiii hapo ndio nilipotaka kwamba Waziri mwenye taaluma ya kilimo anakuwa waziri wa Sheria hahaha Lol si ndio maana tunapata viongozi DHAIFU sasa mtu kama huyu hata hafahamu nini sheria inasemaje anafaa kweli si ndio wale wote wanaosema ahhhh hakuna haja ya katiba mpya(Selina Kombani)Sasa ona madawa feki kibao na waziri wa mifugo hana utaalamu wa ushauri kuhusu madawa ya binadamu anasubiria tu kudanganywa then yuko Liwalo naliwe bora mie situmii hizo dawa watatumia kina KUKOMYA
 
Hawa MD kujitenga tenga kwao nakujiona so special ndicho kilicho wafanya mpaka wasifanikiwe kwenye mgomo wao baada ya kuwatenga wenzao AMO hawana fikra angavu na ubunifu kulalama kila kukicha tu.
 
teh teh teh...halafu kweli nimekumbuka jinsi anatomy na pathology zilivyo kigongo jamani kwa course ya MD! Lakini hata wizara wanajua uwezo wa huyu mpendwa kuwa ni wa ki voda voda ndiyo maana siku zote huwa wanampa wilaya au mikoa isiyo na hospitali! huyu hata clinical meeting hazijui eti maana huko ndiko watu wanakoonyesha walichokisoma kwa kukielezea na kukifanyia kazi na kuleta matokeo.... teh teh
 
:majani7:
 
umejitahidi kutunisha msuli ila kwa usahihi taaluma ya udaktari haina equivalence siyo equivalent nadhani ngwini imekupiga chenga hapa.
 
Mganga Mkuu wa Mkoa is a political post not a professional post. It is a shame kumpa MD hiyo nafasi badala ya kutibu watu hospital akae anazunguuka kufungua warsha na semina za ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…