Kituko: TFF yaishusha Kagera Sugar ,Azam tv yaishusha Stand Utd

Goal difference zinafanana...ukienda kwenye head to head stand ana advantage as alimfunga kagera 3-1 kaitaba na shinyanga ilikua 1-1...kwa mantiki hiyo kagera anashuka
 
Kagera waliendewa mpk fifa na mikia,hapo inatumika kila namna kagera ashushwe hata kinguvu ili tu timu pendwa na tff ipate kupumua
Acha umbumbuta wa soka,kwa nini hakushika nafasi za juu? Kang'ang'ania nafasi za chini,hii inaonyesha uwezo wake ni mdogo.Ashuke na wanaostahili wapande.
 
Mpaka tff hawajui nani mwingine anashuka baada ya African Lyon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…